Viongozi wetu wataendelea kuvunja katiba mpaka lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wetu wataendelea kuvunja katiba mpaka lini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Byendangwero, Dec 21, 2011.

 1. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania inatambua tu viongozi wawili waandamizi wa serikali ya mapinduzi Zanzibar;nao ni Rais wa serikali ya mapinduzi pamoja na waziri kiongozi. Haya marekebisho iliyofanyiwa katiba ya Zanzibar na kuzaa Makamu wawili wa Rais katiba ya muungano haijayatambua bado. Hivyo hao makamu wawili wanapofanya ziara hapa bara na kupewa heshima zote wanazopewa viongozi wa juu wa taifa inafanyika hivyo kwa kutumia katiba ipi? Nijuavyo mimi Rais wetu ameapa kulinda na kutetea katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wala seyo ile ya Zanzibar. Iweje basi katika suala ili aruhusu mambo yaendeshwe kama kwamba katiba ya Zanzibar iko juu ya ile ya Muungano!
   
 2. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Well Said...tusubiri majibu... Ghrrrrr
   
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Nijuavyo mimi Rais wetu ameapa kulinda na kutetea katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wala seyo ile ya Zanzibar. Iweje basi katika suala ili aruhusu mambo yaendeshwe kama kwamba katiba ya Zanzibar iko juu ya ile ya Muungano!

  Ni rais gani huyo unayemzungumzia?
   
 4. K

  KALIUA New Member

  #4
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kazi kwelikweli
   
 5. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #5
  Dec 21, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Serikali ya kishikaji na mambo yake ya kishikaji ndio tatizo hilo!
   
 6. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #6
  Dec 21, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Rais wetu mpendwa ni mpole sana! hata mkeo akimwambia leo nina mgeni akatafute malazi kwa jirani ni sawa kwake!
   
 7. e

  elly1978 Senior Member

  #7
  Dec 21, 2011
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 180
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Vice versa is also true... Nimekumbuka advanced mathematics miaka ya 90
   
Loading...