Hukumu ya kesi ya maandamano ya January 5 ya CHADEMA leo

Naomba wataalam wa sheria watufafanulie kidogo! Ni hukumu ya kesi au ndio mahakama itasema kama wana kesi ya kujibu. Sidhani kama kesi rasmi ilishaanza maana sijasikia hata mashaidi wakiitwa mahakamani! Naomba ufafanuzi!
 
Leo mahakama itaamua kama kuna kesi ya kujibu ama la,awali wakili wa utetezi waliiomba mahakama itupilie mbali mashitaka yote kwani ni batili
 
Habari za Lema na kesi zake hazina tena mvuto!!! Tuongelee maendeleo, kesi zake ni mali yake na familia yake na hazina tija yoyote kwetu!
vyenye tija kwako ni kama kuifisadi nchi na kulinda maslahi, huo mvuto ambao wewe huuoni lakini watawala wako hawalali kazi ni kupanga jinsi gani ya kukabiliana na umati wa wanamageuzi utakaojitokeza leo kwenye hatima ya kesi hii...
 
habari za lema na kesi zake hazina tena mvuto!!! Tuongelee maendeleo, kesi zake ni mali yake na familia yake na hazina tija yoyote kwetu!

maendeleo yapi mliyoshindwa kuleta kwa muda wa miaka hamsini..mnasubiri uchaguz ufike mgawe pilao,kanga,kofia.pombe....uzeni sera kavukavu muone kama hamwangukii pua
 
mliopo mahakani 2peni update mkianzia mtaani, nje ya mahaka na kinachojiri ndani ya mahakama.
 
Updates please hiyo kesi ni muhimu sana tunakumbuka watu kaadhaa walipoteza uhai.
 
Mnapoteza muda wenu kubishana na Rejao! Waliopo eneo la tukio watupe updates. Achaneni na upuuzi!
 
Hivi nyie lema anawapa nini kumtetea na kumuanzishia thread kila siku humu jf? Ina maana cdm haina wabunge wengine?

Nilikuwa nategemea humu ndani tuwe tunapata habari za lema kufanya jambo la maana na la manufaa kwa wananchi wa arusha mjini. Lakini kila siku habari za lema ni za vurugu, kesi, kuongoza mazishi!!!!
Rejao umenisikitisha.kwani kwako maendeleo ni nini? na unaposema kwa nini lema anatetewa huoni kwamba unasaliti mantiki yako mwenyewe? Angekuwa anafanya mabaya asingepata mtetezi.

Unasema wanaomtetea kawapa nini, unaibua shaka kwamba nawe umepewa kitu na mtu ili umpinge.kwa nini nyie mnapenda kujiita great thinkers lakini hamna hata abcd za huo uthinker? unatukana watu wote jf kuwa hawasemi habari za wabunge wengine?

Unadhani chuki yako juu ya lema(sikufahamu,natumia tafsiri ya mawazo yako haya) unataka kulazimisha wote humu wawe kama wewe? kumbe akutukanaye hakuchagulii tusi.

POKEA SOMO; Tanzania iko nyuma sana kwenye haki za kiraia na serikali inakandamiza haki za kikatiba.kupata vitu hivi ni maendeleo makubwa kwa jamii yetu. Lema anapigania pamoja na mambo mengine ila juu ya madai yako tu maendeleo.

Kwa akili yako unadhani maendeleo ni kujenga barabara na vyoo stend ya mabasi.kama tutapata haki za kikatiba itakuwa maendeleo makubwa sana na lema atakuwa mchangiaji muhimu katika maendeleo hayo
 
hapo tu penye redi..kwa kuuza sera sisi ndio wenyewe na tunakubalika na sera zinanunuliwa! Umeona ya Igunga...na bado tunaenda Kasulu kulichukua jimbo letu!! by Dec 2012 yatakuwa yamesharudi yote!

Siasa si ushabiki wa mpira kama simba na yanga,siasa ni maisha kwako na kwa vizazi vyako vijavyo...napita tu nilikosea njia
 
Habari za Lema na kesi zake hazina tena mvuto!!! Tuongelee maendeleo, kesi zake ni mali yake na familia yake na hazina tija yoyote kwetu!


Matatizo ya kukesha uwanja wa fisi ndiyo haya. Achana na punyepunye labda utaanza kuadika vitu vyenye mshiko kidogo!!
 
Rejao umenisikitisha.kwani kwako maendeleo ni nini? na unaposema kwa nini lema anatetewa huoni kwamba unasaliti mantiki yako mwenyewe? angekuwa anafanya mabaya asingepata mtetezi.unasema wanaomtetea kawapa nini, unaibua shaka kwamba nawe umepewa kitu na mtu ili umpinge.kwa nini nyie mnapenda kujiita great thinkers lakini hamna hata abcd za huo uthinker? unatukana watu wote jf kuwa hawasemi habari za wabunge wengine? unadhani chuki yako juu ya lema(sikufahamu,natumia tafsiri ya mawazo yako haya) unataka kulazimisha wote humu wawe kama wewe? kumbe akutukanaye hakuchagulii tusi.POKEA SOMO; Tanzania iko nyuma sana kwenye haki za kiraia na serikali inakandamiza haki za kikatiba.kupata vitu hivi ni maendeleo makubwa kwa jamii yetu.Lema anapigania pamoja na mambo mengine ila juu ya madai yako tu maendeleo.kwa akili yako unadhani maendeleo ni kujenga barabara na vyoo stend ya mabasi.kama tutapata haki za kikatiba itakuwa maendeleo makubwa sana na lema atakuwa mchangiaji muhimu katika maendeleo hayo
Kwa mujibu wa Katiba ya mwaka 1977, majukumu mahususi ya wabunge ni kushauri na kusimamia utendaji wa serikali kwa niaba ya wananchi. Pia majukumu mengine ya msingi ni kutunga sheria za nchi na kuridhia mikataba mbalimbali ya kimataifa. Katika haya yote sioni Lema anachokifanya. Ukiangalia Arusha kwa sasa kumekuwa kisiwa cha migogoro. Watu hapa JF mnamtetea Lema kishabiki na kwa sababu ya Itikadi yake, lakini kiuhalisia wananchi wa Arusha wanaumia. Wanachi wengi wa Arusha wanamkumbuka sana Felex Mrema. Huyu alikuwa mchapa kazi wa ukweli,,,,
 
Habari za Lema na kesi zake hazina tena mvuto!!! Tuongelee maendeleo, kesi zake ni mali yake na familia yake na hazina tija yoyote kwetu!

gaz%2B4.jpg
 
Wabunge wa CCM hawaitaji kushindanishwa kwenye BLOGS!! wanatenda tu!! Wanatimiza majukumu yao. Nina uhakika kati ya hao wabunge wa CDM hapo Zitto mwenyewe ndiye mwenye ubavu wa kutetea kiti chake 2015! Hao njuka wa bunge waache tu waendelee kupiga blaa blaa majimboni mwao!!
 
Back
Top Bottom