Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mimi ninadhani ni njama za mwenjekiti wa nccr baada ya kujisafisha mbele ya wazee wa chama na nec aka panga mbinu za kulipiza kisasi na ame fanikiwa.
0 Reactions
121 Replies
12K Views
Jamani mi nashangawa na taa za hapa jijini Arusha,huwa haziwaki kabisa usiku na kusababisha katikati ya jiji pawe na giza km nje ya jiji, ila cha ajabu wakiwepo wakubwa,taa huwa zinawaka mapema...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wananchi wa jimbo la shinyanga mjini, baada ya kupiga kura walitarajia kupata mbunge wao kupitia chadema, lah hasha, kamwe haikuwa hivyo. Kilichofuata ni milio ya bunduki na mabomu ya machozi...
1 Reactions
53 Replies
8K Views
Jobs - Junior Professionals Program for Afro-Descendants (JPPAD) & US Minorities
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mjadalwa Katiba unaendelea wadau. Muda wowote Rais Jakaya Kikwete atatangaza majina ya wajumbe watakaounda Tume ya Katiba itakayoshughulika na kukusanya maoni na kuandaa rasimu ya Katiba.Je,nani...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari zilizopatikana kutoka Mahakama ya Kisutu zinasema tayari Kibanda ameshafikishwa mahakamani hapo tayari kwa kuunganishwa katika shitaka alilofunguliwa mwenzake Samson Mwigamba.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
CHAMA cha Mpira wa Miguu Uingereza (FA) kimetuma maombi Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kumuombea Hati ya Uhamisho wa Kimataifa (ITC) mchezaji Douglas Didas Masaburi ili ajiunge na...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wana JF Waandishi wetu na nadhani hata sisi wananchi tumekuwa na tabia ya kusahau mambo baada ya kuanza kwa ushabiki.Na muda mwingi mambo serious huwa tunayapa ushabiki mkubwa na mambo ya kijinga...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Jussa anadai Hamad ni mroho wa madaraka, mchuuzi anayemuonea gere urafiki wake na Rostam. Jussa anadai Hamad ni kirusi asiyejua maadili ya uongozi kwa kuchukua nyaraka za chama na kuzi-publish...
1 Reactions
83 Replies
8K Views
Monday, 19 December 2011 20:51 Mussa Juma, Arusha WABUNGE wa Mkoa wa Arusha, wamekwama kuunda umoja wao kutokana na makundi na migogoro iliyopo baina yao na hivyo kukwama kuwa na sauti ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
The Citizen (Dar es Salaam) Lucas Liganga 19 December 2011Zanzibar - Zanzibar First Vice President Mr Seif Shariff Hamad has asked those eyeing his position as Civic United Front (CUF) Secretary...
0 Reactions
0 Replies
860 Views
DEAR PRESIDENT; REF: THE GOVERNMENT WHICH GOVERNS LEAST GOVERNS BEST AND GREATER THE GOVERNMENT THE SMALLER THE INDIVIDUAL. I am writing to you this letter not for the reason of...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Waziri wa nishati na madini William Ngeleja amesema serikali imeridhia Kuilipa kampuni ya Kuzalisha umeme wa gesi Dowans Tanzania tsh 95 bilion baada ya kufanya marekebisho ya madai tofauti na...
1 Reactions
319 Replies
30K Views
Nimekuwa nafuatilia malumbano ya vyama vya siasa kwa muda,ila nilichogundua ni kwamba mwananachama yoyote ndani ya hivi vyama haruhusiwi kuwa na mawazo tofauti na mwenyekiti wake,na ikatokea ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
upatikanaji wa mafuta umekuwa ishu sn hasa toka bei ya 1990 (kwa petroli) ianze kutumika kwa hapa dzm vituo vingi vimefungwa unaambiwa hamna wese. leo jpili nimeyapata kwa vijana wanayauza 3000...
1 Reactions
69 Replies
7K Views
Wana jf, Great Thinkers ni matumaini yangu kuwa kwa wale wenye uchungu na hii ndiyo wanahitaji mabadiliko ya kweli na kwa wale mafisadi wanatamani tuendelee kukaa tu kimya kwani kelele zetu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa Singida, kwa kuwa leo unafanya mkutano na wakaazi wa Singida mjini, pale viwanja vya Stend ya Zamani. Kwanza asante kwa kuitisha Mkutano, tunaomba kama una ujasiri kweli wa kuita...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Baada ya kusainiwa tarehe 01.12.2011 huo mswada wa sisiemu/kafu mbinu zile zile za kutumia UWT zitatumika na within no time katiba mpya hiyo hapo!!!!!!!! Kama wakati ule hakuna aliyekohoa leo nani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hawezi kukata rufaa ""Mwanasheria wa NCCR Mageuzi, Dk Sengondo Mvungi alisema Kafulila hawezi kukata rufaa sehemu yoyote dhidi ya uamuzi wa kumfukuza uanachama kwa mujibu wa kanuni ya 7 (2) ya...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Katika mambo ambayo CCM haitaki yatokee kwa sasa, ni endapo kama Kafulila atasamehewa na kurudishiwa uanachama wake. Ukisikia kiongozi wa CCM anasimama nyakati hizi na kujidai kusikitika juu ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom