Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Akiongea kupitia BBC jana Hamadi Rashid amesema kama chama chake (CUF) kitachukua jukumu la kumfukuza uanachama atakwenda mahamani au atachukua uamuzi wa kisiasa kukabiliana na hali hiyo JF...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, amemtaka Mbunge wa Ukerewe, Salvatory Machemuri (Chadema) kuacha tabia ya kudanganya wananchi wa jimbo lake kwamba mradi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Inakuwaje uteuzi wako wote ukanyooshewa vidole? Unamwakilisha nani hapo? kama ni wananchi mbona watu tuliowakataa kwenye kura wewe unawapa madaraka? Mimi kwa kweli inaniuma sana hasa kipindi...
1 Reactions
65 Replies
7K Views
Uteuzi wa Mabalozi wetu na Mh. Rais kwa kweli mimi nina mashaka sana, hadidu za rejea sijui huwa nani anatengeneza ....Mh. Marmo amekuwa Mbunge na Waziri kwa nyakati tofauti takribani miaka...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wapendwa naomba aliye na taarifa za aliyekuwa mbunge wa dodoma mjini Nd Efraim Nehemia Madeje atujuze kidogo
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Mimi ni mwanachama mwaminifu wa CHADEMA. Sipendi huyu 'aliyekuwa' mbunge wa Kg kusini arudi chamani. Ni mtu mwenye matatizo sana. Hivyo basi, kama anataka kurudi chamani na kuwa mpambanaji katika...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Wadau: Kufuatana yanayoendelea kujitokeza katika CUF, sasa naanza kupata mwanga kwa nini Prof. Lipumba alionekana kutetea ufisadi na mafisadi. Aliwahi kujitokeza hadharani kabisa kuhusu vitu...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Kwa yeyote anayefuatilia mambo ya intelligensia nchini atatambua uwepo na ufanyaji kazi of a highly developed, financed, equiped and politically connected criminal enterprise. Kashfa karibu zote...
7 Reactions
27 Replies
3K Views
  • Closed
Mhariri mtendaji wa Tanzania daima bw.Absalom Kibanda ataripoti tena polisi kesho na ikiwezekana ataburuzwa mahakamani. Huu ni muendelezo wa kesi inayoitwa ya"Uchochezi" kufuatia ile makala ya...
20 Reactions
148 Replies
14K Views
nilikuwa jana kwenye mkutano wa CHADEMA mbongwe shinyanga na haya ndo niliyakuta. 1. Walipew tshs 30mil na ndugu Sabodo na jana ndo zilikuwa zinakabidhiwa kwa jimbo la Mbongwe ili kujenga ofisi za...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Length 54: Films On Demand - View Playlist Huyu jamaa Nyerere alikuwa hatari. Anakiri jinsi alivyokuwa na power ya Constitution to be a Dictator!!
0 Reactions
11 Replies
2K Views
JF, nimetafakari kwa makini huu mwenendo mpya wa viongozi wa vyama kuamua kuwafukuza baadhi ya wanachama, kwa maono yangu mwenendo huu ukiachwa uendelee hakika usalama wa taifa utaenda mrama...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Katika pita pita zangu mtandaoni, nimekutana na habari hii toka magharibi ya Africa. Habari yenyewe inamhusiha Raisi wa Gambia na ukiukwaji wa haki za binadamu ikiwemo mauaji ya waandishi wa...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Nakusikiliza, unasema wafanyabiasha wanashindwa kununua bulk kwasbabu ya price uncertainty... unajustify their cartel and yet wewe ni mtendaji wa serikali... unawakilisha wafanyabiasha. Na kibaya...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Au anasingiziwa? I find it hard kuamini kuwa awe amefika hapo alipofika kwa degree feki I feel kama vile JF mko kwenye smear campaign dhidi ya mkulo Haiwezekani waziri wa fedha awe na degree...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
The Citizen (Dar es Salaam) 12 December 2011 Donors finance a third of the government budget, making investments in socioeconomic projects difficult to implement, considering that development...
0 Reactions
0 Replies
833 Views
na Jumbe Ismailly, Singida MBUNGE wa Iramba Mashariki (CCM), Salome Mwambu, ameonesha kupingana na mtazamo wa Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk. Parseko Kone, wa kupiga marufuku kilimo cha...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Maswala ya posho na nini ni preamble tuu ya vitu ambavyo wanafanya. jus the glimpse my good friends. eti ni posho kuku sustain ukiwa mbali na kituo chako cha kazi... duh, sasa mbunge wa dodoma...
0 Reactions
0 Replies
981 Views
Ni wazi kuwa mgogoro wa madaraka kati ya Maalim Seif na Hamad Rashid, unaonekana kuigawa CUF pande mbili za Bara na Visiwani na usiposhughulikiwa vizuri utakuja kuwa mgogoro mkubwa utakao kuja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
naangalia tbc rais anawaapisha mabalozi wapya 7. Vigezo vya kuwateua nadhani ni baada ya kubwangwa ubunge na wananchi. Marmo amekuwa mbunge wa Mbulu kwa muda mrefu na huko Mbulu hakuna maendeleo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom