Nani alishawahi kufikiri hili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani alishawahi kufikiri hili?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kibajaj, Dec 21, 2011.

 1. k

  kibajaj Senior Member

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni takribani mara ya tatu sasa ambapovituo vinavyouza nishati ya mafuta (petrol,diesel) vimesuasua hasa baada ya bei mpya kutangazwa na ewura. Nakumbuka ilikuwa july mwaka huu ambapo mabo yalikuwa mabaya zaidi juu ya suala hili. Pamoja na haya yote serikali ilishindwa kutoa tamko la karipio kwa wamiliki na wauzaji wa nishati hii.

  wakafanya danganya toto kuwa BP imefungiwa kwa kukiuka agizo la serikali lakini baada ya muda mfupi tukaona vituo vya BP vinauza mafuta kama kawaida.

  Haya yote yamesababishwa na sera hii ya serikali ya ubinafsishaji ambapo serikali iligawa kila kitu bila kufikiria hatma ya haya yote. iliua TIPA iliyokuwa inaingiza crude oil na kuisafisha hapa nchini ambapo bei ya mafuta ilikuwa ndogo sana wakati ule. Serikali hii hii ikaua TPDC ikizani kuwa ndiyo inajenga sasa haya ndo matokei yake.

  Hiyo n sekta moja tu sasa hebu fikiria siku hawa VODACOM,AIRTEL,TIGO ZANTEL NA SASATEL wakigoma ni wangapi ambao bado wanatumia ttcl na coverage yake kwa Tanzania ikoje? wenye vyombo vya usafirishaji nao wakigoma ni makampuni mangapi ya umma ambayo yapo na yanaendelea kutoa huduma hii?

  Jamani hata kama ni ubinafsishaji baadhi ya sekta serikali lazima ziwe za serikali bado na nguvu na si kuleta mchezo kwa sekta nyeti kama hizi za mawasiliano na usafirishaji.
   
 2. Escobar

  Escobar JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2011
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 577
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 60
  Mkuu lazima kwanza ujiulize anayebinafsisha ni nani na anayesimamia zoezi hilo ni nani na nani anafaidika na zoezi hilo, baada ya hapo jiulize tena anayemiliki utoaji wa huduma hiyo kibiashara ni nani yaani kama ni mafuta ni nani anayauza? Kwangu mimi ni rahisi tu mtu huyo ni MWANASIASA! Mtunga sheria wa nchi ni huyo huyo mwanasiasa, anayepaswa kumsemea mwananchi ni huyo huyo mwanasiasa mpaka hapo unategemea nini? We need to to uproot the current corrupt system to a smart one! 2015 tusifanye makosa tena, na ikumbukwe kwamba suala sio kupiga kura pekee suala ni kuzilinda kura zetu baada ya kuvote. Democrasia inayofanyika kwa njia ya siri sio democrasian bali ni uongo unaofanyika kwa kisingizio cha maamuzi ya wengi. Watch out
   
 3. k

  kibajaj Senior Member

  #3
  Dec 21, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natamani kama watanzania wote wangekuwa positive thinker kama wewe mkuu.
   
 4. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #4
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  corruption has corrupted the system! we need to overthrow ccm!! thats our only survival!
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,219
  Trophy Points: 280
  Bado kubinafsisha magogoni tu
   
 6. m

  matawi JF-Expert Member

  #6
  Dec 21, 2011
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,058
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Na bado ccm wakamue hawa wako usingizini mpaka wakiamka wakute nchi imekuwa kapi
   
Loading...