Jamani Tanzania yetu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani Tanzania yetu!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanakili90, Dec 21, 2011.

 1. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  wanajamii,

  Nimekuwa nikitafakari kwa mapana na marefu juu ya taifa letu kuwa ombaomba duniani ukiondoa Iraq na afganistani yenyewe ndio ya kwanza.

  Ivi kweli wanajamii even somalia wanatushinda na hawana amani?

  Jamani wanajamii even sudani?
  Masikini Tanzania yetu!
   
Loading...