Kwanini wabunge peke yao tu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini wabunge peke yao tu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by comte, Dec 21, 2011.

 1. c

  comte JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 865
  Likes Received: 336
  Trophy Points: 80
  toka siri ifuchuke kuwa wabunge wamepandisha posho zao wananchi wengi wamepiga kelele kila mmoja kwa namna yake kupinga jambol hilo.
  ombi langu kwa watanzania ni kuliangalia jambo hilo kwa makini na mapana.
  katika nchi yetu hii tukufu watu wamekuwa na tabia ya kutumia nafasi wanazopewa kujipangia mazuri tu bila kuangalia wenzao hasa inapokuja kujipangia maslahi isipokuwa akinamama wa vijijini ambao hupakuwa vizuri na kuwapa wanaume .
  kwa mfano
  WABUNGE. WALIWEKA UKOMO WA RAIS KUWA MIHULA MIWILI tu YA MIAKA MITANO TU LAKINI WAO WAKAKAA KIMYA.

  BOT- MISHAHARA YAO MIKUBWA KULIKO HATA WALIMU WAO WALIOWAFUNDISHA.

  TANESCO- WAFANYAKAZI WANATUMIA UMEME SANA NA KWA KILA KITU LAKINI WANALIPA BILI KIDOGO SANA

  TRA- WANAJILIPA MISHAHARA MIKUBWA KWA KISINGIZIO CHA KUTULIZA TAMAA YA KUIBA HIZO HELA WANAZOKUSANYA

  TBL- WAFANYAKAZI WANAKUNYWA BIA TANI YAO KILA SIKU JIONI NA KILA MWEZI WANAPEWA KRETI KUPELEKA MAJUMBANI
  MIKUKO YA HIHADHI YA JAMII- MISHAHARA MIKUBWA KULIKO WAFANYAKAZI WANAO KATWA NA KUCHANGIA.
  WAJUMBE WA KAMATI ZA HARUSI- HUACHA VINYWAJI VINGI ILI WANYWE WAKATI WA KUVUNJA KAMATI


  orodha ni ndefu.
  sasa kwa nini tunawaandama wabunge ambao kwa kweli hela zote wanazopata tunazichukua katika harambee tunzowaalika kila wakati. tunawapa kwa mkono wa kulia na kizichukua kwa mkono wa kushoto.
   
 2. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nina uhakika wewe ni mbunge wa viti maalum tena kutoka Magamba. kama sivyo utakuwa umetumwa
   
 3. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ma CEO na madirector wa commercial banks mishahara yao ni 20m+
   
 4. c

  comte JF-Expert Member

  #4
  Dec 21, 2011
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 865
  Likes Received: 336
  Trophy Points: 80
  ume "fail test" ya u great thinker
   
 5. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #5
  Dec 21, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Tatizo hawa wawakilishi wetu hawana hoja za kujiongezea hayo mapato yao. Unaposema gharama za maisha zimepanda, kwani unaishi peke yako Dodoma? After all CEO wanatakiwa kuwa rewarded depending on performance zao, ikitokea CEO analipwa vizuri sana wakati kampuni inatia hasara, then kuna tatizo kubwa kwenye hiyo kampuni.
   
 6. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #6
  Dec 21, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Nyongeza za posho kwa wabunge zina nia njema ya kuwawezesha wabunge wamudu Gharama za kuwawakilisha wananchi vizuri, kwa kuwa mishahara wanayolipwa ni midogo ikilinganishwa na gharama wanazoingia wakiwa bungeni.
  "Ni vyema jamii ifahamu kuwa wabunge hawalipwi fedha nyingi kama inavyozungumzwa na baadhi ya watu na kwamba, wanachobaki nacho baada ya makato ya mkopo wa gari na kodi, hakiwatoshi kumudu gharama zote wawapo Dodoma kuhudhuria vikao vya Bunge, kama vile malazi na nyinginezo," alisema Makinda
   
 7. c

  comte JF-Expert Member

  #7
  Dec 21, 2011
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 865
  Likes Received: 336
  Trophy Points: 80
  ndo iwe 20m na wangapi katika banki wanapata kiasi hicho. nakubaliana na wewe kuwa wabunge wameshindwa kujenga hoja kwanini walipwe 200,000. na hilo ni tatizo kubwa.
   
 8. k

  kiche JF-Expert Member

  #8
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Umejitahidi kuongea vizuri ila mwisho umevuruga!!!kutetea posho za kijinga ni upungufu wa kufikiri,kwa hao uliowataja ningependa kupata mishahara yao,kama kuna mtu anaweza kuipata kiuhakika aiweke hadharani ili wananchi wawekwe wazi na huu uharamia unaofanyika!!!
   
 9. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #9
  Dec 21, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mkuu kwenye harambee ni hiari yako. si lazima utoe na ukitoa basi uishie pale mkono unapoishia wakati wa kujikuna.
   
 10. M

  Megawatt B JF-Expert Member

  #10
  Dec 21, 2011
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Great thinkers wana discuss facts siyo porojo. Jambo muhimu hapa siyo neno posho, bali posho ya kukaa kwenye mkutano. Je ni halali mbunge, diwani au mtumishi yeyote wa serikali kulipwa kwa ajili ya kuhudhuria kikao? Kwani vikao si sehemu ya kazi ya mhusika?
   
 11. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #11
  Dec 21, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,015
  Likes Received: 2,663
  Trophy Points: 280
  Sasa kama wanaona posho ndogo kwa nini wasijiuzuru?kwani wamelazimishwa kuwa wabunge?si waache ubunge wakafanye zingine.
   
Loading...