(1)Ni dhahiri kuna mambo ya muungano na yasiyo ya muungano, je Pindi Mzanzibari atakapokuwa raisi wa Tanzania nzima, ana uhalali gani wa kuiwakilisha/kutoa maamuzi juu ya mambo yasiyo ya Muungano...
POLISI WASUASUA KUKAMATA WALIOHUSIKA
na Samwel Mwanga, Meatu
WATU wawili wamejeruhiwa vibaya na kulazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Meatu, mkoani Shinyanga kutokana na mapigano...
Jana Maalim Seif, makamu wa kwanza wa rais SMZ, alitua Mwanza airport na kusababisha kama kawaida adha kubwa kwa watumiaji wengine wa barabara, baada ya vipenyo na barabara zote alizopanga kupitia...
Rais Mstaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa ni miongoni mwa marais wa kiafrika ambao katika utawala wao yametokezea maafa na vifo vya raia kadhaa huko Zanzibar hivyo ni miongoni mwa marais ambao...
Sina uhakika kama hapa ni mahala pake, ila kwa vile ndiyo sehemu ninayotembelea mara kwa mara, nimeamua kuiweka hapa. Modereta anaweza kuihamishiwa panpahusika.
Nimeangalia kwa makini sana mavazi...
Kwa Watanzania wengi ambao hatukuwepo miaka kumi na tano baada ya uhuru tunaweza kujifunza kupitia picha.
Mwalimu Julius Kamabarage Nyerere na baadhi ya Wanachama wenzie wa TANU wakiendesha...
Wabunge akiwemo ndesa pesa na Madiwani wa Chadema wakiwa katika harakati za kuweka Mji wa Moshi safi...inapendeza kama zoezi hili lingekuwa endelevu na kwa mikoa yote.onyesheni mfano wa...
WANANCHI wa Manispaa ya Arusha, bila kujali itikadi zao za kisiasa, jana waliandamana kwa amani wakiwa peku huku wamevaa magunia kupinga ongezeko la posho za wabunge na kutishia kuandamana hadi...
leo nataka tukumbushana wana JF. Hivi mnakumbukua chadema waliamua kuondoka bungeni na kumuacha mhe. Rais akilihutubia bunge? Wakadai hawamtambui!! Siku chache baadae wakarudi bungeni kuendelea...
Wakati mgogoro wa ndani ya CUF baina ya Hamad Rashid na makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar Maalim Seif ukizidi kushika kasi, hatimaye Maalim Seif amejitokeza na kuonyesha wazi nia yake ya kumpinga...
Kikwete ashambuliwa
Mbunge CCM akerwa kuwapa ulaji rafiki zake
na Mwandishi wetu
Tanzania Daima
MWENENDO wa uongozi wa serikali ya Rais Jakaya Kikwete umedaiwa kutowaridhisha...
Kelele nyingi zimepigwa na zitaendelea kupigwa juu ya mapungufu ya serikali hii ya awamu ya nne kwenye kushughulikia mafuriko na uharibifu uliotokana na mvua zinazonyesha dar.....tatizo kubwa...
Nimepata taarifa kuwa viongozi wa juu wa NCCR Mageuzi leo usiku saa mbili unusu watakuwa kwenye kipindi cha Mlimani TV live wakizungumzia hali ya mambo ndani ya chama chao baada ya kufukuzwa...
Wadau;
Serikali yetu inayoongozwa na magamba sasa imedhihirika rasmi kwamba imefilisika. Mwanahalisi leo imeandika kwamba serikali iko hoi kifedha na imetoa nakala ya barua kutoka menejiment...
M. M. Mwanakijiji
April 15, 2009 (Tanzania Daima)
WANAENDESHA magari mazuri ya kifahari; wanavaa nguo nzuri za kupendeza na majengo ya ofisi zao yananguruma viyoyozi vya kuwapoza huku...
Kutokana na mchakato wa kuandika katiba mpya mie nina 'oni' moja tu nalo ni kuhusu kula kiapo kwa Rais, katika nchi zinazoendelea rais akitangazwa tu jioni kala kiap. Kwa mtazamo wangu hii kwa...
Julius Mtatiro
niko uwanja mdogo wa ndege hapa dar kuelekea mafia kwa ziara ya kichama, nimetoka mwenge saa 12.30 asubuh na kufika airport saa 3.40 asubuhi. Barabarani mnapita kwa kutegeana, kila...
Imekuwa ni wimbo kwa wabunge wetu kudai kulipwa hela nyingi kwani wakienda majimboni kwetu wananchi tunawaombe hela. na hata wananchi wakienda Dodoma wanaomba nauli za kurudia makwao. sasa waTz...
Jumapili ya tarehe 18/12/2011 kumefanyika uchaguzi kwenye Kijiji cha Magulilwa Kata ya Magulilwa kwenye Halmashauri ya Iringa Vijijini, na matokeo yalikuwa kama ifuatavyo:
CHADEMA - Kura 475...