Ufafanuzi katika unahitajika tafadhali

LOOOK

JF-Expert Member
May 17, 2011
3,389
672
Hili swala la tanesco mkuu huku tunalipa luku karibu 3800 kila mwezi kwa madai ni service charge yaan hiyo unatoa bila kupata unit hata moja ivo waweza jikuta katika kum elfu unapata unit chache sana sassa hii imekaaje?na hiyo service charge ni ya nini wakati hao jamaa tunawalipa hela ya bili inamana tunalipia huduma moja mara mbili? Mwenye ujuzi wa hili naomba anisaidie ufafa nuzi tafadhali.
 
Back
Top Bottom