Dr. Bana ndani ya Radio Uhuru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Bana ndani ya Radio Uhuru

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, Jan 11, 2012.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Anadai suala la Chadema kudai Katiba mpya ulikuwa ni mtaji wa kisiasa kwa ajili ya 2015. Sasa wamenyang'anywa na JK. Wanabaki na kigugumizi. Anaongea mengi na mengine nadhani kwa mtizamo wangu ni kashifa.
   
 2. B

  Baba Collins JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2012
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mchumia tumbo huyu,sio yule tuliye mfahamu.
   
 3. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ukishaingia redio uhuru kunanini tena?
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Dr huyo,tena wa sayanc ya sihasa
   
Loading...