Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni hatari kubwa sana kwa nchi hii kujidhihirisha kuwa haina viongozi wazalendo,hatari hii si ndogo kama ukikaa chini ukatafakari kwa kina juu ya mustakabali wa nchi yetu na aina ya viongozi...
9 Reactions
43 Replies
5K Views
Mitt Romney victory speech in New Hampshire and its relevance to Tanzania [Read carefully for relevance to our own situation] 1/10/12 8:49 PM EST From...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Chanzo cha habari hii ni Zitto na Demokrasia PRESS RELEASE MPANGO WA SERIKALI KUPUNGUZA MATUMIZI Punguza Matumizi ya Posho SIYO Matumizi ya Reli, Barabara, Elimu na Afya Mwezi Disemba mwaka 2011...
10 Reactions
34 Replies
4K Views
Natamani hizi sherehe za mapinduzi mwakani siziwepo kwetu watanganyika. Ziwe kwao tu sisi tuna sherehe moja tu ile ya December 9.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Sifa zifuatazo natamani Rais ajae kwa Tanzania awe nazo, yani awe B-I-B-I kwa kama ifuuatavyo B-stand for Bright If you describe someone as bright, you mean that they are quick at learning...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Chama cha Wamiliki wa Hoteli na Nyumba za Kulala Wageni mkoani Dodoma, kimekanusha madai ya kupanda kwa gharama za huduma za malazi zilizoongeza gharama za maisha kwa wabunge kama ilivyotangazwa...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Hii ni kwa ajili ya wale ambao ni wapenda maendeleo tu tukiweka siasa na majungu pembeni kwanza tujadiliane kidogo kama mbunge wako ametimiza ahadi kwa kiasi gani kupitia chama chake. Ni mara...
2 Reactions
67 Replies
6K Views
Hii ni wiki ya Mapambano ya Kisiasa kati ya vyama viwili Mkoani Hapa,CHADEMA na CCM ambapo Wabunge na viongozi Waandamizi wa vyama hivyo wakipita Kueleza mambo mbalimbali ya Mkoa na Jimbo kwa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Jamii Ya Wezi na Wala Rushwa Uzaa Viongozi Wezi na Wala Rushwa!!Hiyo ni Kauri ya Zito akiongea na Mtangazaji Zembwela na Michael Baruti wa Kipindi cha Super Mix East Africa Radio.Alikuwa akijibu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jussa Ladhu - Naibu katibu mkuu Zanzibar Julius Mtatiro - Naibu katibu mkuu bara akihutubia Katibu mkuu wa CUF na rais wa kwanza wa serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar mh. Maalim...
3 Reactions
152 Replies
17K Views
LGA/115/2010/1011/Non.c. Ni kampuni ya PAVICO LTD, ya Mkuu wa Mkoa wa Singida iliyoanza kufanya kazi ya kuzoa taka 19/08/2011 katika Manispaa ya Singida. Mkuu wa Mkoa huyo akalipwa na Manispaa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari za ndani kutoka kwa mdau aliyepo ndani ya mgodi wa Tulawaka uliopo mkoani Kagera unaomilikiwa na kampuni ya Barrick. Waziri wa Nishati na madini Mh. William Ngeleja yupo ndani ya mgodi huo...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Ukweli ni kwamba kuna watu wamejitokeza katika Serikali ya CCM wanatoa habari za ki intelejensia kwenye mitandao ili kuweza kudhoofisha kambi inayo andaliwa kuchukua madaraka 2015. Je ni kweli...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Niko hapa kwenye viwanja vya pasiansi mwanza this tym.. Namuona Higghness Kiwia mbunge wa Ilemela, ametangaza hapa hadharan kwamba watu wa wasiangalie star tv kabisa kutafuta habar zake, hawatakaa...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Katika mabadiliko anayokusudia Tendwa kuyafanya kwa kushirikiana na serikali itapelekea biashara ya kuuza na kununua Wabunge na kama biashara hii ikiaanza basi CCM ndio wataonufaika kwa kiwango...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwenye safu ya ya Rai ya Jenerali - gazeti la Raia Mwema January 11 - January 17 na kuna nukuu zimenigusa kwenye paragraph mbili, na quote: Ambacho hakujua Nyerere ni kwamba baada ya kifo chake...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
• UCHAGUZI WA UVCCM, WAZAZI VITA MPYA CCM na Martin Malera HARAKATI za kuwania urais mwaka 2015 ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), zimefika hatua mbaya ya watu wanaotajwa kuwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
KUNDI la kigaidi nchini Somalia lenye uhusiano na al Qaeda, la al Shabaab limetishia kufanya mashambulizi Tanga na Kilimanjaro na tayari vyombo vya usalama mkoani Kilimanjaro, vimetoa hadhari...
1 Reactions
21 Replies
7K Views
  • Poll Poll
Baada ya CCM kushinda kwa kishindo uchaguzi wa 2005 sasa yaanikwa vikali kwa maovu ya mwaka mmjo tu wa kuwa madarakani, skendo zimekuwa nyingi wananchi wamefungua macho sikujua watanzania wana...
0 Reactions
2K Replies
164K Views
SAKATA la uuzaji wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), limezidi kupamba moto baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ludovick Utouh, kuwataja vigogo wapya waliohojiwa na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom