Wengine wanawekeza katika elimu sisi tunawekeza katika posho za wachache | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wengine wanawekeza katika elimu sisi tunawekeza katika posho za wachache

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtz-halisi, Jan 11, 2012.

 1. Mtz-halisi

  Mtz-halisi Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nimekuwa natafakari juu ya nchi yangu, wakati wenzetu kama china, malaysia, singapore, south korea etc waliwekeza katika Elimu Bora ambayo sasa inawalipa lakini nchi yangu Tanzania inawekeza katika Balabala ambazo zinabomoka ndani ya miaka michache na posho; NSSF, PPF na mifuko mengine inawekeza katika majengo na mambo mengine badala ya kuwekeza kwa wanafunzi ambao watakuwa wachangiaji wa mifuko hiyo hapo baadaye, kweli nchi yangu ninaishangaa.
  Mungu isaidie Tanzania, Mungu wasaidie wasomi wa Tanzania nchi yetu ibadilike, Amina
   
 2. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,324
  Likes Received: 1,457
  Trophy Points: 280
  Wengine wanawekeza kwenye elimu sisi tunawekeza kwenye kadhi na makongamano
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,233
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Barabara na Majengo vina 10 Percent ya chap-chap kuliko Elimu!...!:poa
   
Loading...