Tanzania haina vigezo vya kuitwa nchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania haina vigezo vya kuitwa nchi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NIMEKIMBIA CCM, Jan 10, 2012.

 1. N

  NIMEKIMBIA CCM Senior Member

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nmekaa nkatafakari sana nkagundua Tanzania haina sifa ya kuitwa nchi,kwa sababu
  1)tanzania haiongoz kitaaluma inaongozwa kisiasa
  2)Viongoz wake hawana sifa ya kuwa kiongoz mf,KIKWETE alikuwa na sifa gan za kuwa kiongoz,hata taaluma yake haieleki vizuri
  3)Tanzania inapelekeshwa na vijitu vichache xana vya juu.
  4)Ni ombaomba,ni bora 2ngekuwa mkoa wa uingereza coz wana2lea kama wanao vile
  5)Wananch wake ni waoga mno,bom la machoz chali
  Anaepinga niko tayar kumjibu.
   
 2. T

  Topical JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Tangu padre akose urais hamlali
   
 3. N

  NIMEKIMBIA CCM Senior Member

  #3
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Topical nenda milembe brother ukirud uinge jf
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kama vipi shauri waiondoe kwenye ramani ya dunia
   
 5. N

  NIMEKIMBIA CCM Senior Member

  #5
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Shine umenena npe proces
   
 6. N

  Nonda JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,960
  Trophy Points: 280
  Nchi ni nini?

  Sifa za kuwa nchi ni zipi?

  Je Somalia ni nchi?
  Je South Sudan ni nchi? Nigeria? Libya Mpya?
   
 7. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #7
  Jan 10, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Wajua Tz ni nchi ambayo hata mimi inanisumbua kichwa sana kila kukicha!, ni nchi ambayo yeyote anaweza kufanya chochote ili mradi yupo ktk system au ana mapesa. Ni nchi ambayo wananchi wake ni kama hawa exist, ni nchi ambayo haina government culture wala structure yaani karaha tupu. Nina uhakika more than 75% ya viongozi wa hili linchi ukiwauliza wajibu wao ni nini ktk positions zao, watajikanyaka! nina uhakika huo! happy new year Tz!
   
 8. ADAM MILLINGA

  ADAM MILLINGA Senior Member

  #8
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  SAMAHANI C KWAMBA NAKUPINGA ILA NINATAKA KUTOA MAWAZO YANGU KIDOGO, ILI MAHALI FLAN KUWE NA SIFA YA KUITWA NCHI LAZIMA VIGEZO VIFUATAVYO IWE NAVYO 1; IWE NA WIMBO WA TAIFA 2; BENDERA, 3;RAIS 4;SARAFU SASA KATI YA HIVYO TZ HAINA KIPI?:yawn:
   
 9. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mkuu, jitahidi kuandika vizuri unaandika kama upo chating room kule facebook.
   
 10. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #10
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Umebainisha pasi na kumung'unya maneno. Hakika huo ndio ukweli wenyewe.

  Nchi ni Vatican na sio Tanzania.
  Jamani mwambieni ajaribu tena next time.

   
 11. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #11
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,443
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  Mkuu tofautisha symbols of a Nation-state na components of a Nation-state!
   
 12. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #12
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Atakuwa kapotea njia sio kosa lake.
   
 13. STREET SMART

  STREET SMART JF-Expert Member

  #13
  Jan 11, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 668
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60

  Come again with the thread yenye mashiko kidogo ....not this cheap politics. SEE YOU NEXT TIME
   
 14. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #14
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Best post of this year as of now
   
Loading...