Nini hatma ya CUF?

kamimbi

Senior Member
Apr 11, 2011
140
21
MWISHO WA CUF
Kwa kawaida mto unapo elekea kukauka maji hujisogeza zaidi katk mkondo mwembamba, maji machache yakigawanyika nirahisi sana kukauka, mie nawashangaa hawa akina Rashid badala ya kuungana wasaidie uhai wa chama naona wameamua mmoja amwage mboga na mwingine amwage ugali, hapo kweli kuna uzalendo wa kisiasa? Wanamtakia nini makamu wa kwanza wa Rais ZNZ? nadhani kwa msimamo alioendelea nao leo kwa mujibu wa taarifa ya habari ITV ni kuua chama.
 
Enhee, mbona hujamalizia basi hiyo itv ya leo imesema nini mkuu wengine tuko mbali na tv ati...
 
cuf haijawahi kuwa na sifa za kuwa chama cha siasa.
mapalala alikianzisha kwa lengo la kuwa chama cha siasa lakini seif alivyofukuzwa ccm na kunyanganywa vyeo akaingia humu na kuanza kutafuta either kulipa kisasi au kurudishiwa vyeo.

katika kutekeleza huo mkakati wapo waliokufa na wapo waliokuwa wakimbizi mpaka leo,leo lengo la chama limetimia mwenyekiti wa chama kwa kusoma alama za nyakati na kujua kibarua kimeisha akaenda kutafuta kazi marekani.
waliongia kichwakichwa kwa kudhani ni siasa wanaumbuka sasa.
msiba wa cuf ni msiba kama ngo nyingine zilizowahi kufa baada ya program kuisha.

niliowaudhi wanisamehe.
walionielewa wanigongee hata thanks.
 
Mengi yatasemwa lakin ukweli utabaki pale pale. Hamad Rashid Out!!! Vibaraka wake hata mkikesha uchi lakin harudishwi ndani.

Kama mnamtaka mchukueni lakini Kwa CUF OUT!!!
 
Back
Top Bottom