Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WATAWALA WA TANZANIA NA MANENO YAO MAKALI Hizi ni nukuu chache tu……………………. Anna Makinda - Tumeongeza posho kwa wabunge kwasababu maisha ya Dodoma yamekua magumu sana..... Basil Mramba Waziri -...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kuuliza swali hili kutokana na yanayojili kila uchao hapa nchini kuhusiana na ajali za barabarani na unyeti wa kazi za madereva na umuhimu wa uwepo wao.kama zilivyo fani nyingine nchini na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Imeandikwa na Regina Kumba; Tarehe: 16th January 2012 @ 14:59 KESI nyingi za uchaguzi zilizofunguliwa baada ya uchaguzi mkuu mwaka juzi, hazitasikilizwa na kumalizika kwa wakati, kutokana na...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
The current Tanzania has lost Leaders with Qualities. For this case we need to accept and allow the changes to happen, with the current Gorverment nothing and no more changes we should expect...
6 Reactions
16 Replies
3K Views
Salamu za Rambirambi toka kwa Rais JK Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Muheshiwa Raisi wangu Jakaya Mrisho Kikwete husika na kichwa cha habari hapo juu! Tumezoea kukuona kwenye kushiriki kwenye tafrija nyingi tu hususani kwenye misiba hata hapo jana tulikua wote pale...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Wadau habari iliyochapishwa wiki tatu zilizopita kwenye media moja inaonesha UK ikiishangaa Tanzania na kusema kuwa yenyewe ni ya 3 Africa kwa uzalishaji wa dhahabu lakini inaombaomba kinoma kama...
22 Reactions
149 Replies
13K Views
Ni ukweli niko kwenye majonzi makubwa sana ya kupotelewa na dada yangu kipenzi, mwanamapinduzi na mwanaharakati. Dada aliyejua jinsi ya kuunganisha watanzania kujiletea maendeleo. Dada aliyesema...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
"Samaki ukimtoa majini hana nguvu, chama ni taasisi na kina nguvu, ukitaka kuwa na nguvu inabidi uwe ndani ya chama, bila chama mwanasiasa huwezi kuwa na nguvu, tutawatoa majini hawa" Nabe Mnauye...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Rais wetu Jakaya Mrisho Kikwete ni mpenda wananchi wake penye shida na raha yeye hujumuika. 1. Hujiunga na wananchi michezoni kushangilia 2. Huwa karibu na wananchi mabondeni wakati wa mafuriko...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mwandishi Wetu - Raia Mwema Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha, Mary Chatanda HALI ya kisiasa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha imendelea kuwa tete baada ya mkutano wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kumekucha, maandalizi ya safari ya mwisho yanaendelea, salamu na ibada vitafanyika katika viwanja vya kiungani. Watu ni wengi kwelikweli mabasi yanashusha watu kwa wingi sana. PICHA...
73 Reactions
592 Replies
62K Views
John Daniel - Raia Mwema Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Dk. Edward Hoseah * TAKUKURU yawavaa kuhusu posho * Ripoti yafikishwa mezani Ikulu WAKATI Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai, akipendekeza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Rais Kikwete akiambatana na baadhi ya viongozi waandamizi wa serikali kwenye maombolezo ya hayati mbunge Regina Mtema kwenye nyumba ya familia hiyo jijini Dar es Salaam Mzee Estalus Mtema baba...
15 Reactions
167 Replies
23K Views
Naomba mwongozo wa jinsi ambavyo mtumishi wa serikali anvyoweza kushiriki siasa, mipaka yake, na kwa mfano anpotaka kugombea nafasi za kisiasa wakati wa uchaguzi nini anahitajika afanye kabla ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Stop Coddling the Super-Rich By WARREN E. BUFFETT Published: August 14, 2011 OUR leaders have asked for “shared sacrifice.” But when they did the asking, they spared me. I checked with my...
0 Reactions
0 Replies
893 Views
"Kikao cha mwisho cha chama ambacho nilishiriki na Regia nilihudhuria kwa muda mfupi sana. Wenzangu watakumbuka mengine katika kila kikao kile. Mimi ninakumbuka moja tu ambalo ni moja ya sifa...
12 Reactions
29 Replies
3K Views
Inapotokea serikali iliyopo madarakani kuvunja katiba ya nchi au mhimili mmojawapo wa nchi kuvunja katiba ni hatua gani zinachukuliwa na ni nani anayechukua hizo hatua? Nahitaji elimu hii kwa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifuatilia matamko mbalimbali ya cdm dhidi ya serikali lakini naona wamekuwa too soft kiasi kwamba hata serikali imeshawazoea.Sijui wameogopa baada kutishwa na kesi au ndio uwezo...
0 Reactions
1 Replies
839 Views
Written by amini // 19/01/2012 // Habari // No comments Posted on January 18, 2012 by zanzibaryetu Mwakilishi wa Jimbo la Mji Mkongwe (CUF) Ismail Jussa Ladhu akiongea na Waziri wa Fedha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom