UK yaichambua Tanzania, yaishangaa na kuibeza, tunaongoza kuombaomba kama nchi zilizokuwa vitani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UK yaichambua Tanzania, yaishangaa na kuibeza, tunaongoza kuombaomba kama nchi zilizokuwa vitani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ta Muganyizi, Jan 10, 2012.

 1. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Wadau habari iliyochapishwa wiki tatu zilizopita kwenye media moja inaonesha UK ikiishangaa Tanzania na kusema kuwa yenyewe ni ya 3 Africa kwa uzalishaji wa dhahabu lakini inaombaomba kinoma kama iraq........hebu Soma kipengele hiki kisha ufuate link hiyo utashangaa mwenyewe. Yaibeza kusherekea miaka 50 ya Uhuru wakati tunafanya ujinga tu.

  Tanzania is the third largest gold producer in Africa and is rich in mineral resources. Despite its mineral wealth, it is the largest recipient of development aid from Britain and has received in excess of US$2.89 billion in aid (from all donors) in its 50 years of independence. It is Africa’s top and, the world’s third leading recipient of aid after war-torn Iraq. It depends annually on foreign aid by 45 per cent, receiving US$453 million for its 2011/12 aid budget under the umbrella of General Budget Support (GBS). Despite these massive amounts of foreign aid, there has been no significant decrease in poverty over the last 20 years and the country is lagging behind on key development goals for safe water, income and health despite considerable economic growth. The 2007 Tanzania Household Budget Survey showed very little change in income poverty since 1991. Overall, in the 16 year period between 1991 and 2007, poverty fell by about five per cent. But most of this change can be explained by progress in Dar es Salaam. In rural areas, and other urban areas, the decline in poverty is too small to give confidence that poverty has actually fallen (Policy Forum-Tanzania). High economic growth in Tanzania has not been pro-poor.

  Ili kuona jinsi wazungu hawa walivyotudadavua.....bonyeza hapa usione uvivu Tanzania – Is UK aid fuelling corruption? - In2EastAfrica - East African news, Headlines, Business, Tourism, Sports, Health, Entertainment, Education
   
 2. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ni aibu kubwa sana!
   
 3. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Kama kila kitu kikisemwa na Uingereza wewe unakifuata na kukikubali basi kubaliana na mpango wa Waziri Mkuu wa Uingereza James Cameroon..
   
 4. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wananchi wa kawaida, haya yanatuuma kama maumivu ya vidonda sugu vya tumbo! Lakini ile cream ya leaders wetu... Wala haijali... Tanzania Tanzania, Nchi yangu Tanzania,Nakupenda Tanzania!
   
 5. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  yani namwonea huruma sana raisi ajae....manake huyu tulienae ameimaliza nchi kabisa....madeni yaliyolipwa na mkapa yamerudi mara 800 hela hakuna kabisa hazina, kila kitu hakiendi sawa....hivi wazee wazalendo waliobakia wananini cha kufanya kurescue hii hali???

  ukimuuliza raisi kama tunaendelea au la anakuambia foleni dar ni dalili ya uchumi kukua....ukimuuliza kuhusu tatizo la nishati anakuambia kwani yeye ni mungu hata alete mvua...ukimuuliza kuhusu safari za nje anakwambia mnaosema hamjui tu hii misaada tunaitoa wapi....daaaaaaaah sasa hao wanaotoa misaada wameanza kutudharau.... mi nachoka sana i wish i cud have some capabilities to change this condition....poor tz poor leadership poor poor poor...
   
 6. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #6
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Mwisho wa siku wataacha kuisaidia nchi maana hakuna tunachokifanya. Wanatupa fedha zinaliwa. Bora waache kutupa hizo fedha ili tujue shida zetu. Hakuna uongozi unachokifanya zaidi ya kula hela. Nimechukia sana kuchambuliwa hivi.
   
 7. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #7
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  We ulilala unakunywa viroba. Anayekupa fedha ndo anasema wewe mjinga unakula tu hizi ela sasa unachokataa ni nini? Waambie magamba wenzio wakanushe kuwa fedha zlizotajwa humo haijawahi kuzipokea.
   
 8. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #8
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280

  huyo ni nani? JAMES???!!!!
   
 9. Tz-guy

  Tz-guy JF-Expert Member

  #9
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ila naona hao jamaa wapo sahihi, tumezidisha starehe kuliko kazi. Rushwa na ufisadi ndio usiseme, wakati mwingine tuwe tunakubali changamoto na sio kuona tunadharauliwa.
   
 10. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #10
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280
  kuna member mmoja kapinga kweli eti tanzania sio nchi ya tatu kwa kuomba............nimemshangaa sana....upuuzi wa hali ya juu kabisa
   
 11. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #11
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Ukirogwa na CCM inahakikisha brain yako inatumia medula oblangata tu........ ikishindikana unapewa sumu. Mie namfahamu David na Sio James.
   
 12. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #12
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  ...kumbe!
   
 13. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #13
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,635
  Likes Received: 4,745
  Trophy Points: 280
  Maneno haya mwambie mwenyekiti wako wa magamba kwani ndiye anayetembeza bakuli na mpaka wanatoa misaada yao ina maana amekubali masharti yao.
   
 14. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #14
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280
  egocentric and egoistic...haya matatizo mawili ndiyo yanaitafuna nch hii na sasa tunaonekana watu wa ajabu tu mbele ya mataifa mengine...
   
 15. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #15
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280
  The majority of people in Tanzania are poorer now than just after
  independence 50 years ago. The government works in English, a language 80% of
  the Tanzanians do not master as they only speak their tribal language and Kiswahili.
  People cannot read what the government writes, so people are unaware of their
  rights and the duties of their government. Any attempt by the opposition to address
  the fact that people are unnecessarily poor ends in a, sometimes violent, breakdown
  of peaceful protests with the accusation that the opposition is breaching the peace
  and has a pro-violence agenda.  The people in Tanzania are unnecessarily poor because Tanzania is a very
  rich country. It is one of the top gold producing countries in Africa (Since every report
  seems to state a different rank, this is unclear). It has diamantes, metals, minerals, oil
  and gas. Tanzania is endowed with fertile soils, nature, wildlife, lakes and rivers and
  is located near an ocean. Tanzania has everything a country could wish for. There is
  for billions of dollars in and on the ground. Where is all that money?
   
 16. King Were

  King Were Member

  #16
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 7, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  ...una uhakika ni James? Unaona unavyokurupuka kichwa maji wewe! Usiwe too self-defensive kwa kila hoja,, think before you ink!!
   
 17. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #17
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 1,262
  Trophy Points: 280
  Mkuu ulikua unatazama Avatar movie nini?
   
 18. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #18
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280
  In most countries people lie for two reasons: 1) to prevent being accused of any
  wrong doing; 2) to gain something. Not in Tanzania. Lying is a way of live, a means
  of communication. People lie about everything. Most of the time you wonder why they
  were lying in the first place because they did not gain anything out of it, on the
  contrary they just made other people being angry at them. The most reasonable
  explanation seems to be that they say what they think you want to hear. People like
  to hear nice stories and expect you to tell them nice things, they do not want to hear
  that you refuse to do something or any other message they do not want to receive. In
  addition, telling people what they want to hear prevents you from entering into a
  conflict.


  Many people have already told me if you want to become the president of
  Tanzania you have to tell people that they will become rich, have water, electricity,
  jobs, etc. etc. If you tell people they have to work hard you will never become
  president. It is amazing because everybody is complaining that politicians are lying,
  but is that not what they expect from them? Then there are people who take it to the
  next level and promise people, mostly women, they will do something for them for
  payment. These women pay and nothing ever happens. These conmen can easily go
  about their business because nobody is allowed to complain because that might
  create a conflict
   
 19. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #19
  Jan 10, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mawazo yako ritz yaonekana una uhusiano mkubwa sana na chichiem.

  Halafu huyo James Cameron unayemsema wewe bado hajachukuwa uongozi hapo UK.

  Pale Uk kuna David Cameron yule fa..la kama ma..f.a...la wengine hapa Nchini.
   
 20. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #20
  Jan 10, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Waika te tu hiyo misaada,coz c ya raia ni ya wenyewe
   
Loading...