Picha: Rais Kikwete ashiriki maombolezo ya Regia Mtema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha: Rais Kikwete ashiriki maombolezo ya Regia Mtema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Candid Scope, Jan 15, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG] [​IMG]
  [​IMG]

  [​IMG]
  Rais Kikwete akiambatana na baadhi ya viongozi waandamizi wa serikali kwenye maombolezo ya hayati mbunge Regina Mtema kwenye nyumba ya familia hiyo jijini Dar es Salaam

  [​IMG]

  Mzee Estalus Mtema baba wa marehemu Regia Mtema (katikati)

  [​IMG]
  Dk.Slaa akiwa maeneo ya nyumbani kwao Regia Mtema
  [​IMG]

  Dk.Slaa akiongea na Mama yake na Zitto Shida Salum na Muhonga Ruhwanya
  [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG][​IMG]
  Waimbaji wa Karismatiki Katoliki wakiimba nyimbo za maombolezo
  [​IMG]
   
 2. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Kwa kweli hii nimeipenda sana, tunatanguliza utaifa kwanza, katika matukio kama haya tofauti za kiitikadi tunaziweka kando na tunaungana kufanya maombolezo yanye kutukutanisha na kuwa taifa moja. Hizi ni nafasi adimu sana ambazo hutokea kutuunganisha watanzania wenye itikadi tofauti na kushirikiana kuwa kitu kimoja.

  Sote pamoja na kutofautiana kiitikadi malengo ni kwa ajili ya kujenga taifa letu, kwani itikadi ni njia tofatuti tu tunazopitia tukiwa na malengo yale yale yakufikia kileleni. Na hizi tofauti zetu za kiitikadi tunapoziunganisha kwa kupishanisha kupeana awamu ni malengo ya kuchochea maendelea ya taifa si uadui.

  Narudia matukio haya ni ujumbe mahsusi kwetu na njia ya kuzidi kutuunganisha na kutoa tofauti za kifikra za kuhasiniana bali kujenga mfumo wa kushindana kwa hoja ndio maendeleo tunayotaka.

  Hongera viongozi wa serikali kuonyesha njia, kwani wengi wamejifunza na watazidi kujifunza mengi katika matukio kama haya licha ya simanzi nzito aliyotuachia dada yetu marehemu Regina Mtema.
   
 3. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #3
  Jan 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,056
  Likes Received: 3,977
  Trophy Points: 280
  Rais aongoza au ahudhuria? anyway tunamlilia Mh Mtema
   
 4. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #4
  Jan 15, 2012
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Sio Regina ni Regia! RIP dada yetu mpendwa!
   
 5. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #5
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Katika nafasi kama hizi tunatanguliza wakuu kwamba wanaongoza maombolezo, ni kitu cha kawaidfa kutafsirika vizuri tu. Asante Geza Ulole
   
 6. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #6
  Jan 15, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Safi sana JK!
   
 7. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #7
  Jan 15, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  1.Rais wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete
  2.Waziri mkuu Mizengo Pinda
  3.spika wa bunge Anne makinda

  4.Naibu spika Job Ndugai

  5.kiongozi wa upinzani bungeni na mwenyekiti wa chadema Freeman Mbowe

  6.waziri wa mahusiano na uratibu stephen wassira

  7.waziri wa utawala bora mathias chikawe

  8.katibu mkuu wa chadema Dr wilbrod slaa

  9Wabunge mbalimbali na karibu wote wa chadema-zito,mnyika,kafulila,mdee,mnyika etc
  10.Katibu mwenezi wa CCM NAPE NNAUYE.
  11.wadau mbalimbali pamoja na wana JF
  MY TAKE; TANZANIA NI MOJA NA WATANZANIA NI WAMOJA BILA KUJALI ITIKADI ZA VYAMA,DINI NA MAKABILA YAO.
  REST IN PEACE DADA REJIA.
  Source.wadau mbalimbali wa uhakika wanaoishi maeneo hayo.
   
 8. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #8
  Jan 15, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Ni wengi sana hasa wa serikali.wale wa chadema ndio wafiwa kwa hiyo lazima watakuwepo wengi sana labda awe na dharura.lissu nae ameonekana
   
 9. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #9
  Jan 15, 2012
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Kwa Tanzania, uadui ni kati ya chama na chama, si mtu na mtu.
  Sisi wote ni wamoja na Tanzania siku zote ni moja.
   
 10. A

  Anne deo JF-Expert Member

  #10
  Jan 15, 2012
  Joined: Jul 10, 2011
  Messages: 470
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Bila kumsahau suggu,msigwa,suzan kiwanga,laya,ester bulaya,vicent nyerere, kwa kweli wameonesha ushirikiano.
   
 11. M

  Molemo JF-Expert Member

  #11
  Jan 15, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mkuu mbona CUF naona kama wamejitenga?
   
 12. R CHUGGA

  R CHUGGA Senior Member

  #12
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nmependa jinsi viongozi wetu walivyotanguliza utaifa hii ni nzuri hapo tumeonyesha utanzania wetu wa asili ndivyo tulivyo na tunavyotakiwa kuwa.Thanx candid scope kwa picha hizo.....
   
 13. M

  Molemo JF-Expert Member

  #13
  Jan 15, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Inaonekana CUF wamesusia
   
 14. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #14
  Jan 15, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,482
  Likes Received: 12,743
  Trophy Points: 280
  Kwakweli huku mtaani kwetu tabata,full ving'ora mwanzo nlidhani kina babu seya wanarudishwa SAGEREA but vilivyozidi
  nkagundua our beloved rm alikuwa mtu wa watu,R.I.P mtema
   
 15. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #15
  Jan 15, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  What is this....!
   
 16. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #16
  Jan 15, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  rest in peace dada rejia.bravo JK
   
 17. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #17
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Picha hizi sijazipenda kweye maombolezo ya hayati dada yetu Rigia Mtema[​IMG] [​IMG] [​IMG]

  Najua wengi hapa watanifutulia macho, lakini watanzania tunatakiwa tuwe na upeo wa kutambua na kuchanganua nafasi za matukio. Hapa si masuala ya chama, ni msiba ambao unatuhusu watanzania wote. Alivyovaa Freeman Mbowe safi kabisa ni vazi la msiba. Picha ya kikwete unamwona kijana kwa mbali na pendera ya Chadema kajifungia huu ni mtazamo finyu, hapa ni msiba wetu sote.

  Hali kadhalika Dr. Slaa anatakiwa awe na mabadiliko ya mivao kutofautisha nafasi kama hizi. Vazi hilo hilo ofisini, msibani, kanisani, hotelini nk. hapana, nitaendelea kutoa somo hadi tutakapokuwa mstari mmoja.
   
 18. M

  Molemo JF-Expert Member

  #18
  Jan 15, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Tunataka Maalim Seif awaongoze CUF na wazanzibar kushiririki msiba huu mzito wa kitaifa
   
 19. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #19
  Jan 15, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,482
  Likes Received: 12,743
  Trophy Points: 280
  what is it?
   
 20. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #20
  Jan 15, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Whats so strange?
   
Loading...