Watawala wa tanzania na maneno yao makali

mzee wa njaa

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
1,366
223
WATAWALA WA
TANZANIA NA MANENO
YAO MAKALI Hizi ni nukuu chache
tu……………………. Anna Makinda -
Tumeongeza posho kwa wabunge kwasababu
maisha ya Dodoma
yamekua magumu sana.....
Basil Mramba Waziri - Ndege ya Rais Lazima Inunuliwe ikiwezekana hata Wananchi
Wale Nyasi......... Magufuli -- Pigeni mbizi kama mkiona nauli ni Kubwa........ Mustafa Mkulo -- Kila
mwananchi atabeba
Msalaba Wake...Serikali
haimo............
Stephen Wassira - Mnaulizia mvua kwani nani kawaambia mimi ni waziri wa mvua?. Mwantumu Mahiza -Waliomaliza vyuo na kukosa ajira waanzishe miradi ya kufuga kuku inalipa sana.............
Jumanne
Maghembe:-"Wazazi
wawasomeshe watoto wao
"WATOTO WA MASIKINI!!.
Kikwete: - Ngeleja hawezi kuletea Mvua.........
:-Kelele zenu hazinifanyi nishindwe kulala!......
:-Wanafunzi wanaopata uja
uzito wakiwa bado mashuleni ni kiherehere chao.
:-Hii sheria nitaisaini
kwasababu nisipofanya
hivyo wenzangu
hawatanielewa...... :-Kikwete- foleni dar es
salaam ni ishara ya maisha bora........
:-ukitaka kula ni lazima na wewe uliwe..unataka kula
tu bila kuliwa!!.haiwezekani!
Sofia Simba:- Wanawake Wanyimeni Waume zenu!
''TENDO LA NDOA''
Wakiwapigia kura Wapinzani............ Didas Masaburi:- Wabunge wa DSM wanafikilia kwa
Makalio............. Ridhiwani Kikwete:- Mimi si Fisadi Naishi Kimjini mjini
Nina kipande kidoogo cha
Uwanja wa Urithi na Toyota Collola Hayo ma Vogue mnayoniona nayo si yangu Bongo tunaishi kijini mjini..
Lake Oil sio Yetu......... Pinda:-Vihela vyenyewe vidogo vinaishia kuwapa
wapiga kura wetu
wanapokuja dodoma.......
Malecela:-You can go to Hell!........;.
Mizengo panda:- tukishitaki mafisadi uchumi wa inchi
utayumba.......
Anna Makinda:- ' siasa ni wakati wa uchaguzi tu
viinginevyo wananchi
mtakufa masikini......... Salva Rweyemamu:-
Tungetaka tungemkamata
balali lakini hatuna haja yakumkamata-
Ikulu.....!!........ Chenge:- "Jamani mbona hivi ni vijisenti tu!" (akihalalisha takribani
zaidi ya $ 1M alizozipata
kifisadi kuptia manunuzi ya
Rada).....
Mkapa:- "Mie sijali rangi ya paka najali kama anakamata
panya" (akiitetea
contracted Manjement ya
Tanesco (Net Group Solutions) .........
Anna Makinda:- kilimo
kwanza ni kwa
wanaomaliza darasa lakumi mbili wa shule za kata, sababu hawana nafasi
huko juu na kuna wenyewe......... MUNGU IBARIKI
AFRICA....MUNGU IBARIKI
TANZANIA....
 
Back
Top Bottom