Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama kuna mtu yuko serious na masuala ya uongozi wa nchi basi Kagame ni mmojawapo; urafiki na uswahiba ni sawa ali mradi unachapa kazi, vinginevyo unashughulikiwa - hakuna cha cheo wala nini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Habari zilizothibitishwa na JF ni kuwa Regia Mtema (mb) amepata ajali na Kufariki dunia eneo la Ruvu Darajani. Ndugu wa Karibu wanasema alikuwa kaenda kukagua Kiwanja alichopewa na Wazazi wake na...
70 Reactions
1K Replies
104K Views
Kwakweli kwa hali hii sijui ni kiongozi gani atakayekuja kuokoa hili jahazi linalotusumbua wananchi kutokana na makali haya ya mgao wa umeme pamoja na kupanda kwa gharama hii ya nishati ya umeme...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi kuna uhusiano wowote kati ya gazeti hili na David Jairo? maana wamemtetea sana mpaka editorial
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Ameyasema hayo leo asubihi ndani ya MAGIC FM.. Alipoalikwa kujibu hoja juu ya maneno aliyotoa ndugai kwamba,wanaopata posho kubwa si wabunge pekee bali ata wachungaji, NSSF,TRA achilia mbali...
2 Reactions
70 Replies
6K Views
Tumwombee mbunge mteule wa Arumeru Mshariki Jeremiah Sumari apimzike kwa amani... Ukweli ni kwamba baada ya kifo chake lazima kiti kizibwe.. Kamnda JOSHUA SAMWELI NASARI anaweza kujipanga kutimiza...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Amesema haoni sababu ya serikali kukataa kuanzishwa kw amahakama ya kadhi kikatiba na kutengewa pesa na serikali; kwani serikali inatenga fedha nyingi kwa mambo ya kisiasa na kusahau mambo...
2 Reactions
73 Replies
5K Views
Yafahamika kuwa ni haki ya kisiasa kwa mwananchi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa nchini.Pamoja na ukweli huo,ni dhahiri kuwa nia, malengo na misukumo ya baadhi vijana kujiunga...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
taifa letu linaingia hasara sana kutokana na hawa wabunge wanaokufa ovyo mkopo wa milioni 90 nani atauludisha? Maana zinajenga zahanati 3
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Je Wazanzibar wana material candidate anayefaa kuwa rais wa URT?
0 Reactions
42 Replies
4K Views
na Abdallah Ramadhan, Igunga | Tanzania Daima MBUNGE wa Igunga, Dk. Dallali Kafumu, alisababisha kuvunjika kwa vikao viwili vya kujadili muswada wa upatikanaji wa Katiba mpya baada ya...
0 Reactions
50 Replies
6K Views
Wakuu, Nimeona habari hii iliyopostiwa na Samson Mwigamba yule Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Arusha, kwenye mitandao ya wanabidii na mabadiliko. Nimeona niyaweke hapa maelezo yake ili tuyajadili...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
James Magai na Raymond Kaminyoge MAHAKAMA Kuu Dar es Salam leo inaanza kusikiliza maombi ya Mbunge wa Wawi, Hamadi Rashid na wenzake 10 waliofukuzwa uanachama wa Chama cha Wananchi (CUF). Rashid...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu nimepokea Tamko la Chadema kuhusu mwelekeo wa Chama mwaka 2012 pamoja na kumbukumbu ya mauaji yaliyotokea Arusha mwaka jana.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe, amewataka viongozi wa dini kuwa macho na wanasiasa wanaotumia nyumba za ibada, kujisafisha kwa jamii ili kulinda maslahi yao...
0 Reactions
64 Replies
6K Views
​Wengi wetu nataraji tutakuwa waumini wa dini na bila kuzitaja dini hizo naamini asilimia kubwa ya sisi waumini tumeshasikia hadithi za Musa/Moses. Katika hadithi hizi sehemu kubwa inaelezea...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Kufuatia hii sintofahamu iliotokea Igunga Mbunge kujiuzulu. Vyama vya siasa kufukuza wabunge bila dressing !. Na kusababisha chaguzi ndogo za marudio. Mf. Nimesikia gharama ya Chaguzi ya Igunga...
0 Reactions
0 Replies
832 Views
Ndugu zangu, JUMATANO hii ya leo kuna kusanyiko kubwa la watu kule Ifakara. Ni WaTanzania wanaoshiriki kumsindikiza kwenye safari yake ya mwisho, ndugu yetu mpendwa, Regia Estelatus Mtema...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
japo kama tungeweza kuzipata; hivyo ndivyo tunavyotaka kweli? Kujitawala ni kujitegemea. Kujitawala kwa kweli hakuwezekani ikiwa Taifa moja linategemea misaada na mikopo ya Taifa jingine kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba wana jf mtoe maoni yenu kuhusu katiba mpya iweje?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom