Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Madiwani wa Chadema waliofukuzwa uanachama wamefungua kesi Mahakama Kuu, Kanda ya Arusha, kupinga hatua iliyochukuliwa na chama chao na wanaiomba mahakama kumzuia Mkuruguenzi wa Halmashauri ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimemteua Mbunge wa Nyamagana, Ezekiah Wenje kuwa Mkurugenzi wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa wa chama hicho. Anajaza nafasi iliyoachwa wazi na...
0 Reactions
86 Replies
8K Views
Baada ya fukuza fukuza ndani ya vyama vya siasa, tulishuhudia baadhi ya watu wasiohusika na migogoro hiyo wakijaribu kulizungumzia swala hilo kwa jinsi walivyoona inafaa, na baadhi yao...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Moja ya sifa kubwa ya chama chochcote makini cha siasa ni uwezo wake katika kufanya maamuzi sahihi kama ambavyo chama hiki kimekuwa kikifanya kwa nyakati zote. Kumekuwa na suala la kifo cha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mbunge wa Wawi, Hamad Rashi Mohamed na wanachama wenzake waliofukuzwa Chama cha Wananchi (CUF), wakitoka nje ya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam jana ambako walikwenda kusikiliza kesi yao ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KUFUATIA kifo cha Mbunge Jeremiah Sumari, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeamua mkutano wa kawaida wa Kamati Kuu ya chama uliokuwa ufanyike Zanzibar kuanzia Januari 21, 2012 mpaka...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda Esther Mwimbula, Kilosa WAZIRI MKUU, Mizengo Pinda ameombwa kusitisha operesheni ya uhamishaji wa mifugo inayodaiwa kuingizwa na wafugaji kiholela katika mikoa...
0 Reactions
0 Replies
887 Views
Mwenyekiti wa POAC, Zitto Kabwe Leon Bahati SERIKALI kupitia Wizara ya Nishati na Madini imeingia tena katika kashfa ya ufisadi wa matumizi mabaya ya rasilimali za umma, baada ya kubainika kuuza...
0 Reactions
0 Replies
917 Views
Mbunge wa Kahama Bw. James Lembeli, akizungumza na wakazi wa Kata ya Igunda, wakati akitangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Shinyanga jana, wakati wa uchaguzi wa Chama...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Kwanza kulikuwa na Gibons Mwaikambo - huyu alikufa kwa "accident" usiku wa kuamkia siku aliyotaka kutangaza rasmi kujitoa CCM na kugombea ubunge huko Mbeya kwa tiketi ya Chadema, akiwa na uhakika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
katika safari yangu nje ya tanzania nimepita barozi zaid ya kumi na kuna waajiriwa wengi wenye sifa zinazoeleweka na wengi wasiyo nasifa kabisa,hapa sijaelewa watumishi katika barozi hizi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana-CUF mliomo humu, Karibuni katika Thread hii maalumu kwa ajili ya mambo muhimu ambayo tunataka myajibu.Tutawapima kutokana na maelezo yenu. Then tutaviita pia vyama vingine katika thread...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
WHATEVER detractors, denigrators and dissidents might say to the contrary, Edward Lowassa is a Man for all Seasons. He is also a man for decisions, no matter whether his decisions are right ...
3 Reactions
20 Replies
4K Views
Nawapa pole wana arumeru kwa msiba wa mbunge wao Mh Sumari. Nilipita eneo moja la ngaramton nikakutana nakijana wa ccm nikampa pole yakufiwa na mbunge wao. Alinijibu ahsante lakin niny CHADEMA...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ndugu zangu wanajamvi,niwape pole sana kwa misiba yote miwili ya viongozi wetu iliyotukumba hivi karibuni. Nametakafakari sana mwenendo na mwelekeo wa siasa za Tanzania kwa kupitia katiba na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mimi ni mtanzania wa upande wa Bara, nataka kugombea ubunge wa bunge la jamhuri ya muungano kwa tiketi ya CUF, jimbo la uzini, zenji, wadau inawezekana?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wana-CHADEMA mliomo humu, Karibuni katika Thread hii maalumu kwa ajili ya mambo muhimu ambayo tunataka myajibu. Tunaanza na CHADEMA na tutawapima kutokana na maelezo yenu. Then tutaviita pia...
2 Reactions
78 Replies
10K Views
Tangia Jussa amtukane Sita, niliamua kufuatilia matamshi yake ya kisiasa, nimegundua kuwa ni mtu wa kuogopwa sana. Baada ya serekali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupeleka pendekezo la...
3 Reactions
85 Replies
8K Views
Mkurugenzi wa mambo ya nje wa CDM ambaye pia ni mbunge wa Nyamagana Ezekiah Wenje jana alifanya mkutano mkubwa wa hadhara mjini Sengerema ambapo wanachama 50 wa CCM walijitoa katika chama hicho na...
8 Reactions
97 Replies
8K Views
Three top Rwandan military generals and a Colonel were yesterday suspended from the national army and placed under house arrest for alleged “indiscipline”. Highly placed security sources told...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Back
Top Bottom