Kwa wale waliokua wakisema Kubenea amenunuliwa na Lowassa sasa na waseme tena, maana watu wakisema huyu jamaa ni mtu asiyetabirika, hamuelewi. Leo kampa haki yake Lowassa.
Lowassa anajua...
ASEMA USAFI WA NYERERE SI WA CHAMA
na Hellen Ngoromera
ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinari Pengo, amewaonya viongozi wa Chama cha...
Nimekuwapo kwenye viwanja vya Karimjee katika kumuaga Shujaa wetu Mh. Regia Mtema. Ni viongozi wengi walikuwapo, kuanzia wa Serikali pamoja na Waziri Mkuu ni Makamu wa Rais. Pia Mawaziri, Wabunge...
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116539
E-mail: press@ikulu.go.tz
Website: www.mawasilianoikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425...
Wana JF wenzangu na watanzania wote kwa ujumla, Regia amefariki! Mwanga huu umepotea haraka sana. Kwangu mimi tangu nilipopata habari hizi kupitia mtandao huu nimejitahidi kulazimisha kuwa ni...
Wana JF walivaa flana zenye maandishi haya mgongoni
Baadhi ya viongozi waliwasili kama inavyoonekana chini:
Hawa pia walikuwepo, katika mikao tofauti kabla ya mwili kuwasili:
Waziri...
Kesho 18/01/2012: Kutakuwa na maandamano yaliyoandaliwa na wanachama wa CUF Jimbo la Wawi-Zanzibar yatakayoanza saa 2:00 asubuhi Tawi la CUF Vumba, na kumalizikia kiwanja cha mpira -Vumba kwa...
Viongozi wa bunge wanaosema kwamba si wabunge tu wenye mishahara mikubwa bali wafanyakazi wengine wa serikali na kampuni kama NSSF na TANAPA wana mishahara na marupurupu makubwa wanakosea.
1...
jamani kila kukicha katika vyombo vya habari habari inayo tawala
ni kuhusu uraisi mwaka 2015 ukienda ccm chadema nk vyama vina
shindwa kuongelea maendeleo ya wananchi wana baki kuongelea urais...
WASOMI na Wanaharakati wameponda kauli ya Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai kulinganisha posho za wabunge na majaji pamoja na wanataaluma wengine serikalini wakisema 'ni kauli ya mchumia...
MHE. REGIA E. MTEMA – MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI KWA WIZARA YA
Mheshimiwa Naibu Spika, ninawashukuru Ukoo wote wa kina Mtema na Kihaule; wazaziwangu Dkt. & Mrs. Estelatus Mtema...
CDM mmemuona regia e. Mtema na Morogoro yake? Hii ya Kilombero mpaka Ifakara je? Wabunge mmeona?
Kwa mara ya mwisho kuwasiliana na regia ilikuwa ktk salamu zake za mwaka mpya, nilimpongeza na...
Kamanda Regia kabla ya kututoka alituaga hapa JF kwa kutuambia kazi alizo zifanya Katika kukuza chama Wilayani Kilombero kuwa alifanikiwa kulipia na kufungua Ofisi za CHADEMA katika Kata 5...
Unajua katika watu wanaoshangaza pale dom ni huy bwana jamani. Kwa waliomtuma ama kumsaidia kujibu swala la posho naamini
hatomfwata tena
Ati aanashabikia posho za wabunge na kusema mnajua...
Nimekuwa mfutatiliaji wa siasa za bongo. Kuna kitu nimegundua JK anapoenda kufungua miradi ya maendeleo yeye anafika anatia mkasi tu bila hata kufuatilia chochote mbona Mwanri anagombana na...
MIAKA50 YA UHURU: TULIKOTOKA, TULIPO NA TUNAKOKWENDA
(KWA MAJADILIANO KATIKA STARTV: 03/12/2011)
Prof. Mlambiti, M. E.
Utangulizi
Katika kujadili mada hii, nimeona niegemeekwa kujadili...
Kufuatia Msiba wa Marehemu Regia.........................
MAKUNDI mawili yanayopinga ya wanachama wa Chadema jana nusura yazichape kavukavu yalipokuwa katika msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Viti...
Tumekuwa tunawataja maraisi watarajiwa kwa majina. Lakini nadhani turudi nyuma kidogo, tujiulize Je ni raisi mwenye sifa zipi atakaye uondoa umasikini Tanzania.
Labda tunahitaji mbepari...
ni takriban wiki nne sasa wanafunzi 63 wa kiislam wanaosoma shule ya secondary ya ndanda wamesimamishwa na wengine kupewa masharti magumu ili warudishwe ikiwa ni pamoja kutofanya ibada wakiwa eneo...
Salamu wana JF,
Kila kukicha majina wa sifa yanaibuka. Siku moja likaibuliwa jina la 'Mtoto wa Mkulima' maana yake ikiwa ni kuwajali wakulima wa Tanzania na watu wengine wenye kipato cha chini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.