Chadema bado hawajaonyesha msukumo wa kuleta mabadiliko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema bado hawajaonyesha msukumo wa kuleta mabadiliko

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mpendadezo, Jan 19, 2012.

 1. m

  mpendadezo Member

  #1
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa nikifuatilia matamko mbalimbali ya cdm dhidi ya serikali lakini naona wamekuwa too soft kiasi kwamba hata serikali imeshawazoea.Sijui wameogopa baada kutishwa na kesi au ndio uwezo umefika mwisho. Kama chama kikuu CHA UPINZANI na serikali inayosubiri kuingia madarakani si lazima wasubiri 2015. mapambano yanatakiwa yaanze sasa.
  Nimeona nitoe hoja hii kwani kuna mambo ambayo cdm waliyapigia kelele na hayajafanyiwa kazi lakini naona wamenyamaza.
  Mfano ni SUALA POSHO MPYA ZA BUNGE, SAKATA LA JAIRO, MSWADA WA KATIBA MPYA.
  Pia kuna masuala mengine kama BEI YA UMEME na masuala ya nyuma kama RICHMOND MEREMETA TANGOLD KIWIRA, SUALA LA RADA NA ZAIDI EPA. Haya yote yangetakiwa yafanyiwe kazi kwa MIGOMO NA MAANDAMANO HADI HATUA ZICHUKULIWE Lakini wapi nimeandaa mabango nasubiri watangaze wapi. Baadhi ya wananchi tumechoka hatuna ajira tupo tayari kulifia taifa letu kuliko kukaa tu vijiweni bora tupambane angalao hao mafisadi wakose usingizi ikiwezekana wahame nchi.
  CHADEMA, TUNASUBIRI MUANDAE MAANDAMANO ANGALAO TUANZE NA HILI LA BEI YA UMEME NA EPA. HII ITASAIDIA KUNDAA WANACHI KUDAI HAKI ZAO NA SIO KUKAA VIJIWENI. [FONT=&quot]MABADILIKO YANAWEZEKANA ILA YANAANZA NA MIMI NA WEWE. TUCHUKUE HATUA KUNUSURU TAIFA LETU.[/FONT]
   
 2. p

  phinny Member

  #2
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapo umenena mkubwa
   
Loading...