Watumishi waserikali na siasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watumishi waserikali na siasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by RUV ACTVIST., Jan 19, 2012.

 1. RUV ACTVIST.

  RUV ACTVIST. JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 471
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Naomba mwongozo wa jinsi ambavyo mtumishi wa serikali anvyoweza kushiriki siasa, mipaka yake, na kwa mfano anpotaka kugombea nafasi za kisiasa wakati wa uchaguzi nini anahitajika afanye kabla ya kugombea?
   
 2. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Kikwete ni mtumishi wa serikali. Je, alipogombea Urais alifanya nini?
   
 3. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #3
  Jan 19, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Ni pm nikupe ushauri nasaha
   
 4. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Ukiondoa watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama, sheria na tume ya uchaguzi waliobaki wanaruhusiwa kugombea kujitosa katika kinyang'anyiro husika pasipo kutakiwa kujiuzulu nyadhifa zao kwanza.
   
Loading...