WHY, and WHY CHADEMA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WHY, and WHY CHADEMA?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Josephine, Nov 9, 2011.

 1. Josephine

  Josephine Verified User

  #1
  Nov 9, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 787
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  The current Tanzania has lost Leaders with Qualities. For this case we need to accept and allow the changes to happen, with the current Gorverment nothing and no more changes we should expect. Leaders and community should share the same purpose to develope, or provide the drive, authority and communicate to undertake the changes.

  What are this Qualities we are looking for?

  • A leader with humility.
  It is often found in the most effective leader. Due to luck of Humility many leaders believes in 'Sangomas'.

  • Integrity
  Leaders in different industies and culture can and do spar over the rules,but Intergrity is the bedrock characteristic of straight dealings and if you loose intergrity you loose everything, the Luck of Intergrity to our leaders has taken us to force and wrong agreements and contracts all over.

  • Decisiveness
  A leader's ability to step up and make decisions, even if it's deciding only when consensus has been reached and it's time to act.
  • Take Risk
  Aleader who is having courage to act in situation where results aren't assured but they're willing.
  • Emotional resonance
  Leaders with the ability to grasp what motivates others and use it to inspire them into action.This can create a productive team that draw the best from people. The effective coach teams in collaboration, consensus building and conflict resolution.
  • Self Knowledge
  Most of our leaders today luck this valuable trait will protect from over reaching.A leader should be passionate about something and that's where you will lead. This will lead into Conviction, as a leader you should believe in what you are doing, deadicate yourself to get the job done, Openess this will allow you to listen to ideas that are outside, to make a good judgement.
  • Magnanimity
  A Leader should give credit when it is due, being gracious in defeat and allowing others who are defeated to retain their dignity.
  • Vision
  A Leader should demostrate ability to provide direct to His /her people.

  Because of the above statement Tanzania is where it is today,should we continue giving other chances to our leaders under CCM party? Or should we think the alternative?

  This is Why and Why Chadema.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,527
  Likes Received: 19,947
  Trophy Points: 280
  hawa ni ccm hawa
   
 3. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,175
  Likes Received: 2,176
  Trophy Points: 280
  Watanzania hawajawapa CCM nafasi nyingine ya kujaribu isipokuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi iliyoteuliwa na mwenyekiti wa CCM ndiyo imefanya hilo maana bado inawahitaji CCM
   
 4. A

  ALLEN MWAKIPESI Member

  #4
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sometimes it is god's plan and sometimes it is people plans that is why ol these happens my sister
   
 5. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  A leader is born not made
   
 6. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Dats gud theor but 4 chama cha magamba( ccm) iz viceversa.
   
 7. IsangulaKG

  IsangulaKG Verified User

  #7
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  'Katika misingi ya Utawala Bora Serikali imefunga 'ndoa' na Umma.....katika ndoa hii umma ni mme na Serikali ni mke na inawajibika kusimiamia maendeleo ya jamii kama mke anavyowajibika kuhakikisha watoto wamekula na kushiba. Japo ndoa hii haiwezi kuwa na sifa zote za ndoa ya kibinadamu, tatizo ni pale 'serikali inapojikweza' na kukiuka misingi halisi ya ndoa hii.. Ili kuhimiza uwajibikaji, ni lazima Umma upewe mamlaka yake stahiki na serikali iwajibike kwa umma tena kwa uhakika. Mihimili mingine kama Bunge na mahakama ni kama walinzi wa mahusiano kati ya serikali na umma kwa kuhakikisha Serikali inawajibika kwa umma na umma unatimiza majukumu yake. Bunge likiegemea upande wa serikali,linapoteza sifa ya kuwa mlinzi wa Maslahi ya umma vivyo hivyo iwapo watawala watahodhi na kujihusisha katika mchakato wa haki kwenye mahakama, nayo inapoteza hesima ya kulinda usawa kati ya serikali na umma, na hata kati ya wananchi wenyewe'...Nukuu toka A Leaking Needle (Sindano Inayovuja) cha Isangula K
   
 8. Mwamikili

  Mwamikili JF-Expert Member

  #8
  Jan 17, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 416
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Nimeipenda sana thread yako Josephine, mi nadhani watanzania bado tunakasumba zile za zamani kuwa upinzani ni vurugu na upinzani utatuondolea amani tuliyonayo, bali la hasha na sivyo hivyo bali muamko uliojitokeza kwa wanachadema kwa kuwa na watu safi na vijana wenye upeo mzuri wa kufikiri ndio njia pekee ya kuliokoa hili taifa

  ushauri wangu kwa chadema, jaribuni kuhamasisha watu especially vijijini ambako ndiko ccm wanakutumia kuiba kura maana mnakosa uwakilishi, mimi kuna majimbo yamepotea hivi hivi mpaka imeniuma kwa kutokuwa na wapambanaji, mfano jimbo la tabata kinyerezi lilikuwa la chadema tatizo mpendazoe hakuwa kama myika au mdee ambao walikomalia majimbo yao kiasi cha kuwa mnyika alikuwa tayari anamajibu yake kwenye computer yake na hakulala alikesha pale mabibo na vijana wake wa kazi kwa hiyo haikuwa rahisi kuchakachua.

  kumbuka 2015 sio mbali jipangeni muwe na wawakilishi wa kutosha maana kila mtu atakuwa pekeake kwenye jimbo lake hivyo jijengeni kila kata watu wapo tafuteni connections hata kama ni ofisi au tawi lianzishwe na mtu sio chama maana at this level bado hamuwezi kutoa ruzuku za kuendesha ofisi kwenye kila kijiji kama ccm, nao kwa vile wana serikali watu wao wanapita kuomba omba kwa ded ndio pona pona yao
   
 9. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #9
  Jan 18, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,151
  Likes Received: 2,114
  Trophy Points: 280
  Mama wa Rais, uko juu. maneno mazito haya
   
 10. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #10
  Jan 18, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mwamikili umetoa mawazo hevy sana.....point noted!
   
 11. juma sal

  juma sal Senior Member

  #11
  Jan 18, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Why and why posho?
   
 12. a

  assuredly4 JF-Expert Member

  #12
  Jan 18, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 1,215
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  subiri utaona tena ccm mkizubaa atachukua EL au anaweza kupewa migiro kukimbiza bendera yenu na ndipo mwisho wa chama utakapofika
   
 13. a

  assuredly4 JF-Expert Member

  #13
  Jan 18, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 1,215
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  posho ni chumia tumbo ya wabunge na mafisadi wao akiwemo ndugai
   
 14. a

  assuredly4 JF-Expert Member

  #14
  Jan 18, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 1,215
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  wabunge hawastahili posho kwani vile ni vikao vya kazi na dodoma ndio kituo chao cha kazi, posho zao wote zifutwe
   
 15. a

  assuredly4 JF-Expert Member

  #15
  Jan 18, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 1,215
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  chadema inasema kweli bila woga ndio maana kuna shaka wanabambikiwa makesi na juhudi mbalimbali za kuwahujumu/kuwaua- tuna shaka na serikali
   
 16. a

  assuredly4 JF-Expert Member

  #16
  Jan 18, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 1,215
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  wadau wa usalama tupeni taarifa za kina kwani mnajua ukweli
   
 17. D

  Darick JF-Expert Member

  #17
  Jan 19, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Na hicho ndo kinahitajika tukicheza jua litatuchwea kwani hawa jama kwa mbinu chafu hawajambo! ila tukiweka miziziz ya kutosha kuchakachua itakuwa ngumu, wazo lako la kuweka misingi vijijini ni zuri sana na ndio wakati wake. Kama ulivyosema miaka mitano sio mingi yabidi tujitahidi kuhamasishana hasa vijijini kwani mijini watu tumeshaelimika kwa kiasi kikubwa ingawa bado kuna wenye mtizamo finyu juu ya vya pinzani hata hivyo si wengi mijini.
   
Loading...