Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Gazeti moja la serikari laandika na kutoa picha kuonyesha wanajeshi wakiwa kazini lakini swari je watatosha nchi nzima mpaka KAZURAMIMBA, MWAKALELI, ILEMERA na vijiji vingine au Muhimbiri tu NA je...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa kuwa suala la kupinga posho likikuwa ni la chama kama mwenyekiti Mbowe alivyowahi kaliliwa huko nyuma na kusisitiza hilo si suala la zitto na kwa kuwa rais kapitisha nyongeza ya posho ya vikao...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Tuwe specific, unadhani ni ipi blunder kubwa zaidi aliyoifanya JK katika utawala wake tokea awe rais 2005 up to the present? .Nawasilisha
0 Reactions
54 Replies
4K Views
Heshima mbele WanaJF… Kwa muda mrefu sana watanzania wengi wanazidi kuwa masikini na wachache kuwa matajiri ilhali rasilimali zipo bwerere kila pembe ya nchi hii, na hivyo, kuwepo kwa Gap kubwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa Taarifa zisizo na shaka toka chanzo maalumu, suala la posho za wabunge limeleta mtafaruku katika kikao cha wabunge kupata muhutasari wa kitakachojadiliwa bungeni.kikao hicho kinaendelea sasa...
4 Reactions
138 Replies
11K Views
Raisi Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa Tanzania itagharamia ujenzi wa mahakama ya Afrika (African court of human and peoples Rights) itakayojengwa Arusha. My Take: 1.Hivi kama hatuna hata hela...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Heshima mbele, Nimekuwa nikiangalia matumizi ya social networks kwa Salva na timu yake ya kina Michuzi naona wameanza kuamka kama sio kukumbuka shuka wakati kunakucha. Kuanzia matumizi ya blogs...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wana JF, Nasikitika sana pale ninapomuona mh. Mtutura, mbunge wangu wa jimbo la Tunduru Kusini haishi huku na wala haji tena siku hizi huwa najisikia vibaya sana. Wakati wa kampeni mwaka juzi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WAKUU Kwenye mkutano uliofanyika mjini kibaha chini ya Mwkt wa BAVICHa John Heche akiambatana na Sugu (mb) na Msigwa (mb) Katibu CCM kata ya maili moja Ndg Mathius (Picha) aljiunga na Chadema ,
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Huko nyuma nilisha wahi kusema, siku ambayo watanzania walalahoi watakapoamua kuingia barabarani, sijui watawala hawa watakimbilia wapi kujificha. Sasa wakati umefika, na wakati wenyewe ni leo...
15 Reactions
60 Replies
6K Views
Ni wazi kabisa Mh Pinda na mama Makinda hawana busara! Niwazi Raisi hakubaliani na posho, ila kwa kuwa ni people's pleaser amesukumia wasio na busara kuamua
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu zangu nimeamua kuliza swali hilo kwa sababu nashindwa kufahamu nini tatizo katika idara hii nyeti kabisa ya serikali ambayo ndiyo inayotakiwa kutatua matatizo ya watumishi wa serikali. kama...
0 Reactions
0 Replies
892 Views
Wakuu naona kuna watu tayari wameanza kufanya propaganda za kitoto hapa jukwaani. Mnawajua. Hatuja haja ya kupoteza muda nao, unless kama wanaleta kitu arguable. Msafara wa magari kadhaa na...
12 Reactions
182 Replies
17K Views
Malalamiko mapya yameibuka kwa wafanyakazi wa idala tofauti za serikali. Malalamiko hayo ni juu ya makato ya mishahara ya watumishi. Imethibitika hivyo baada ya watumishi kukuta mapungufu katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Zipo tetesi kwamba kelele anazopiga juu ya maslahi ya zanzibar na wazanzibar ni mkakati waliouweka yeye na maalim seif kujigengea umaarufu ili jamaa atakapotoka amuachie ukatibu mkuu. Endapo hili...
0 Reactions
0 Replies
991 Views
Spika wa Bunge Mh.Anna Makinda leo alikutana na waandishi wa habari baada ya kuahirisha Bunge kutolea ufafanuzi suala la posho na tamko la serikali bungeni kuhusu mgomo wa madaktari. Katika...
0 Reactions
61 Replies
5K Views
Jee kuna kigezo kinachomzuia Mkapa kushatakiwa Mahamakama ya uhalifu . hiii ni baada ya mauji ya Jan 26/27 huku PEMBA?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kumbe ili NATO waje Tanzania ili kutuondolea regime kandamizi inabidi wafe kwanza watanzania si chini ya 5,000. UN security council inakutana ili kulishughulika li-regime la Syria baada ya vifo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakati mwingine mtu akisema jambo fulani la ukweli, wale wanaouswa na jambo hilo huja juu kumkebehi aliyetoa kauli husika. Hapa nataka kurejea hoja ya uongozi wa nchi hii kukosa uthubutu wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa sasa Zitto analiomba bunge likubaliane na ombi lake la kupokea taarifa ya mgomo wa madaktari toka kwa waziri mkuu kisha ijadiliwe mjengoni. SOURCE. Bungeni live TBC
3 Reactions
42 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…