Kumekuwa na taarifa kwenye vyomba vya habari kuhusu ufa unaojitokeza baina ya Rais na Bunge, hasa wabunge wa CCM. Kuna kila sababu ya kuamini kwamba, ufa huu kwa kiasi kikubwa unaechochewa na...
Nimemsikia komredi Mukama akisema kuwa TV ya CCM iko kwenye mchakato wa kuanzishwa na tayari bodi imeundwa. Ya chadema hata wazo hakuna, Chadema mpo serious kweli?
JK ametoboa jinsi viongozi wa CCM wanavyoowamaliza Watanzania....kwa kuwafanya 'malofa' na kuwaibia haki ya kupata viongozi wasio na dira, mafisadi. JK akihutubia katika Miaka 35 ya Chama Cha...
Watu wengi wamelalamika kutokana na muda mfupi wa tangazo la mkutano.Lakini pamoja watu wamemwelewa vizuri sana mheshimiwa mbowe.kulikuwa na maswali ya papo kwa hapo.Lakini kwa kweli jinsi mbowe...
Hakika, ya Michael Sata yatatua Tanzania siku moja!
Johnson Mbwambo
Si siri, nasi twamhitaji King Cobra wetu
WIKI iliyopita hakuna habari zilizonisisimua katika duru za kimataifa kushinda zile...
Kuna sms mbili ambazo nimezipata tangu juzi. Moja inamhusu kijana Julius Mtatiro aliyekuwa mmoja wa viongozi wa TAHLISO. Hiyo sitaizungumzia sana kwa sasa lakini ni dokezo kwa watawala wajue...
Kulingana na kauli na wito alioutoa Rais kikwete,leo wakati akihutubia wana ccm katika maadhimisho ya miaka 35 ya uhai wa ccm.Amewataka wana ccm kujiandaa kulikomboa jimbo la Ilemela na...
Jk amesema kweli, kitengo cha propaganda kikipwaya chama kinapwaya. tumekuwa tunasema hapa chadema lazima kuanzisha tv, radio na gazeti kwa ajili ya propaganda. sijui kwanini hamlioni hili?
Nini kitatokea ikiwa Rais Kikwete ameridhia mapendekezo ya Maboresho ya Sheria ya kusimamia mchakato wa Katiba Mpya na Serikali yake imeshaandaa marekebisho hayo na tayari kumeripotiwa jaribio la...
Ndugu Jk, wewe ndio tatizo la yanayomsibu Mwakyembe.
Nduku JK, wewe ndio chanzo la migogoro yote ya kidini hapa nchini.
Nduku JK, wewe ndio chanzo na kichochezi cha umaskini unaondelea hapa...
Siri yafichuka: CCM, Serikali na Bunge katika hali teteIkiwa zimebaki siku mbili wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuadhimisha sherehe za miaka 35 tangu kuzaliwa kwake hali katika chama hicho ni...
Ni dhahiri jamii yoyote dhaifu ni jamii isiyo na utamaduni wa kupenda kupata taarifa kwa maana ya kupata maarifa. Uzoefu unaonyesha kwamba wanawake wengi wanapenda taarifa za udaku zaidi kuliko...
Gazeti la Mwanahalisi ktk toleo lake na.279 ukurasa wake wa Tisa, la wiki hii limechapisha mahojiano kati yake na ndugu Diana Chilolo mbunge wa viti maalumu,CCM mkoa wa Singida.Mwishoni mwa...
Pamoja na mambo yote ambayo husemwa kuhusu wapinzani lakini ukweli ni kuwa nchi yetu imetekeleza na inaendelea kutekeleza sera zilizobuniwa na wana CCM na sheria zilizopitishwa na bunge la CCM na...
Ivi inawezekanaje matatizo ya wa2 wengne unaongea na wazee afu hao wazee ni wa chama chako ivi kwann matatizo ya nchi yanatatuliwa kisiasa jaman kunakuendelea kwel?
WanaJF,tuna furaha ya kukualikeni kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi kitaifa jijini Mwanza,tuna sababu nyingi za kuifanya sherehe hii hapa:
1.Kuwashukuru wananchi wa kanda ya Ziwa...
Sungusungu ni wengi mno ktk uwanja wa ccm na inasemekana wametoka nje ya mji wa mwanza.
My take
Je wananchi wa kawaida hawakujitokeza kwa wingi ktk kusherekea kuzaliwa kwa ccm?
Nawasilisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.