Tawi la kwanza la CDM Marekani laundwa DC Metro (DMV)

environmental

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,054
137
Watu wengi wamelalamika kutokana na muda mfupi wa tangazo la mkutano.Lakini pamoja watu wamemwelewa vizuri sana mheshimiwa mbowe.kulikuwa na maswali ya papo kwa hapo.Lakini kwa kweli jinsi mbowe na mbunge wa nyamagana walivyokuwa na upeo wa juu wa uelewa.Ilitufanya kuanzisha tawi la chadema hapo hapo.Mungu wabariki watu wenye kujitoa sadaka ili kuiponya nchi yetu Tanzania.
 
Attachments

  • DSCF0153.JPG
    DSCF0153.JPG
    750 KB · Views: 515
  • DSCF0152.JPG
    DSCF0152.JPG
    911.5 KB · Views: 372
  • DSCF0158.JPG
    DSCF0158.JPG
    682.8 KB · Views: 306
  • DSCF0151.JPG
    DSCF0151.JPG
    515.7 KB · Views: 311
Fafanua vizuri ueleweke mzee,hiyo heading na habari havijakaa sawa,umezungumzia Chadema kwenye heading while contents ni Mbowe na mbunge wa nyamagana.Unapoandika unatakiwa u take assumption kwamba hadhira unayoimbia haijui chochote kwahiyo jitahidi ikuelewe bila kuiachia maswali.
 
Safi mkuu, tunawatakia kila la kheri huko tawi liwe linamchnago wa kweli utakaowakomboa wa tanzania toka mikononi mwa wanamagamba!
 
Watu wengi wamelalamika kutokana na muda mfupi wa tangazo la mkutano.Lakini pamoja watu wamemwelewa vizuri sana mheshimiwa mbowe.kulikuwa na maswali ya papo kwa hapo.Lakini kwa kweli jinsi mbowe na mbunge wa nyamagana walivyokuwa na upeo wa juu wa uelewa.Ilitufanya kuanzisha tawi la chadema hapo hapo.Mungu wabariki watu wenye kujitoa sadaka ili kuiponya nchi yetu Tanzania.

Naona Tumaini ndani ya nyumba
 
Hongereni sana watanzania muishio washngtone

Mkuu ujue Washington au Marekani kuna kila aina ya watanzania na magamba pia yapo hata katibu wao wa itikadi na uenezi aliwatembelea hivi majuzi. Hebu weka vizuri post yako.
 
hakuna kulala mpaka kieleweke! CCM waliikana azimio la arusha si wenzetu tena! Wamekuwa mabwanyenye! Mabepari tena yakifisadi!
 
Hizo picha hakuna chochote zinachokionyesha kuhusu Chadema kuikamata Washington DC, na habari yenyewe inaelea tu hewani.
Jaribu kutumia uwiano unapotaka kufikisha ujumbe hasa picha zinapohusika. Umeondoa utamu wa habari kabisa.
 
Ulitaka uiano ni kuona lundo la watu? Mbona unalazimisha sivyo? Kitendo cha kupata sapoti ni kuikamata hata kama wachache au wengi, hujui waishio huko wengi si kihalali? Hivyo wakisapoti upinzani Magamba watawabetua ndio maana kinafiki wanajitokeza mikutano ya CCM sana
 
Fafanua vizuri ueleweke mzee,hiyo heading na habari havijakaa sawa,umezungumzia Chadema kwenye heading while contents ni Mbowe na mbunge wa nyamagana.Unapoandika unatakiwa u take assumption kwamba hadhira unayoimbia haijui chochote kwahiyo jitahidi ikuelewe bila kuiachia maswali.

Sijakuelewa point yako kabisa,kwhyo ulitaka wanachama wa chadema wote wa bara na visiwani wawe DC? Kwan ni nin maana ya uwakilishi? hiv haujui kwamba mbowe na heche wameenda kama Chadema?
 
Watu wengi wamelalamika kutokana na muda mfupi wa tangazo la mkutano.Lakini pamoja watu wamemwelewa vizuri sana mheshimiwa mbowe.kulikuwa na maswali ya papo kwa hapo.Lakini kwa kweli jinsi mbowe na mbunge wa nyamagana walivyokuwa na upeo wa juu wa uelewa.Ilitufanya kuanzisha tawi la chadema hapo hapo.Mungu wabariki watu wenye kujitoa sadaka ili kuiponya nchi yetu Tanzania.
Mwanakijiji alikuwepo?
 
Ulitaka uiano ni kuona lundo la watu? Mbona unalazimisha sivyo? Kitendo cha kupata sapoti ni kuikamata hata kama wachache au wengi, hujui waishio huko wengi si kihalali? Hivyo wakisapoti upinzani Magamba watawabetua ndio maana kinafiki wanajitokeza mikutano ya CCM sana

me love this post.
 
Back
Top Bottom