Mchambuzi
Reaction score
1,151

Profile posts Latest activity Postings About

 • D
  Habari mchambuzi. Ninatafiti kuanzishwa kwa mgambo wa vyama (Political parties militia) na uchambuzi wangu ulianzia hasa 1970 ambapo mafunzo ya mgambo yalianzishwa nchi nzima. Hata hivyo nimesoma post na mchango wangu kuhusu hili swala kuanzia 1956 na nikaona una background nzuri sana ambayo mimi sina. Ninakundikia kuomba sources/references tafadhali maana nitahitaji kuweka katika andiko langu. unaweza kutnitumia kwa email kwekad@gmail.com au kwa namna nyingine unayoona sawa. Natanguliza shukrani.
  Mchambuzi
  Mchambuzi
  Mkuu samahani sana, ndio naona ujumbe wako. Tangia mabadiliko ya hii interface sijawa as active humu until recently. nimekutumia email pia. Nitakurudia shortly kuhusu swali lako. Asante.
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…
Top