Mbowe aisifu CCM kwa kukuza demokrasia

mkigoma

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
1,180
309
akiongea nchini marekani mwenyekiti wa chadema mh freeman mbowe ameisifu serikali ya ccm kwa kukuza demokrasia nchini, gazeti la mtanzania la leo.
 
Bado hajarudi tu ... Anafanya shopping ya ma flat screen nini .?
 
Hawa CUF wanapenda sana kuisifu CCM ,cjui ndoa yao itaisha lini ?
 
Sasa badala ya kuisifuu tuu inabidi kufanya mpango wa kuiondoa kabisa manake tumeshaichoka na maendeleo hamna
 
Mboe sometime anaweza kujaribu kusema ukweli usipendwa na wahfidhina wa chama chake,kwenye kipengele cha Demokrasi hakuna kama JK!!!hakuna Rais wa Tz alomfikia kwa kukuza Demokrasi
 
akiongea nchini marekani mwenyekiti wa chadema mh freeman mbowe ameisifu serikali ya ccm kwa kukuza demokrasia nchini, gazeti la mtanzania la leo.

Rafiki yangu Mbowe hamkubali kabisa. Anaona Mbowe kama anatumiwa angalia jinsi alivyokwenda Ikulu zaidi ya mara 4. Msibani na sehemu zingine amekuwa msaliti wa Chadema. Hayo ni mawazo ya rafiki yangu
 
Hivi kesi ya nyani ngedere akiwamuwamizi kuna justice hapo? kwanza ukitaja gazeti la Mtanzania napata hadi kichefchef. Lile ni gazeti la mafisadi Kamanda Mbowe alivyo sacrifize hadi resources zake kwa ajili ya chama leo aongee upumbavu nadhan he was misquoted si Mbowe tunaemjua
 
mboe nae gamba au?kwanini anafanya kazi ya Nape?au ile juice ya ikulu imeshaanza kumlevya nae?
 
Atarudi lini au mpaka apige picha na kina 50 Cent?

Sasa naanza kukuelewa. Kumbe sometimes unafikiri vizuri!!!!.
Kumbe mkulu wetu alipopiga picha na 50 cent ilikuuuma!!!!!

Najua unatamani sana Kamanda Mbowe naye afanye hivyo lakini naomba nikutaarifu kwamba hilo halitatokea.
 
Jamani hii stori ama siyo ya kweli au umechukuliwa out of context. Nilikuwepo. Sikusikia sifa zozote za CCM. The only time Mbowe alitaja CCM alisema sio wote waliohudhuria kikao ni wana Chadema. Hata wana CCM wanakaribishwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom