Ipi kati ya taasisi hizi inatumika sana kwa niaba ya CCM?

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233
1. Polisi
2. Mahakama
3. Bunge
4. NEC - tume ya uchaguzi
5. Bakwata
6. Baraza la Maaskofu
 
Mtazamo wangu: polisi, nec, bunge,mahakama,bakwata, baraza la maaskofu.
 
1. Polisi
2. Mahakama
3. Bunge
4. NEC - tume ya uchaguzi
5. Bakwata
6. Baraza la Maaskofu
Nafikiri Bakwata na Baraza la maaskofu hawakustahili kuwepo kwenye list hii......ila hapo polisi,Nec na Bunge iko wazi moja kwa moja kuwa wanatumia,Mahakama naona siku hizi wameanza kubadilika kidogo,ni dalili njema
 
Back
Top Bottom