Karibu ktk sherehe za kuzaliwa CCM-Mwanza

J.K.Rayhope

JF-Expert Member
Oct 26, 2011
316
31
WanaJF,tuna furaha ya kukualikeni kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi kitaifa jijini Mwanza,tuna sababu nyingi za kuifanya sherehe hii hapa:
1.Kuwashukuru wananchi wa kanda ya Ziwa kwa kura walizotupigia ingawa hazikutosha.
2.Kuimarisha chama upya,kuleta mvuto mpya kwa wananchi na wanachama wa CCM kwa kanda ya Ziwa.
3.Kuwaeleza Watanzania namna tunavyoongozwa na mtu makini kabisa.
4.Kushirikiana na wanachama kuhakikisha 2015 majimbo yote 3(ILEMELA,NYAMAGANA,UKEREWE)yaliyotwaliwa na CHADEMA yanarudi CCM.
5.Kufufua na kuimarisha upya ngome yetu ya CCM ya kanda ya Ziwa.Ni mengi mno,kwa ufupi nawasilisha.
Kidumu CHAMA CHA MAPINDUZI
 
OK kwa hiyo mtapita mikoa yote kwa namna ya sherehe kama hizi za tarehe 05,02 tu kuwashukuru wananchi na hizo ngome nyingine mna mpango nani nazo eg Arusha, Mbeya etc au ndiyo mumezizira mnataka Mwanza tu
 
Miji na majiji yote yamechukuliwa labda waende mji wa Igunga.
 
Kutakuwa na posho? Usafiri je?? Na wali utakuwepo?? Na ulabu pia utakuwepo??
 
The subscriber you are calling is not available please try again later. ndio jibu kutoka Mwanza mtakalo ambulia mkitaka kulithibitisha na msitoke mmejidanganya kuwa mmefanikiwa kwenye hamna basi msibebe watu kwenye mabasi, daladala na malori kuwapeleka kwenye sherehe muone mtawapata wangapi kwa stail ya kuwaita kwa kawaida
 
OK kwa hiyo mtapita mikoa yote kwa namna ya sherehe kama hizi za tarehe 05,02 tu kuwashukuru wananchi na hizo ngome nyingine mna mpango nani nazo eg Arusha, Mbeya etc au ndiyo mumezizira mnataka Mwanza tu

Msihofu,tutakuwa na ziara za kikanda na kwa miji mikubwa,CCM ni Chama Chenye Mtandao,tutafanya.TUMETHUBUTU,TUMESHINDWA NA TUNAJIPANGA UPYA
 
WanaJF,tuna furaha ya kukualikeni kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi kitaifa jijini Mwanza,tuna sababu nyingi za kuifanya sherehe hii hapa:
1.Kuwashukuru wananchi wa kanda ya Ziwa kwa kura walizotupigia ingawa hazikutosha.
2.Kuimarisha chama upya,kuleta mvuto mpya kwa wananchi na wanachama wa CCM kwa kanda ya Ziwa.
3.Kuwaeleza Watanzania namna tunavyoongozwa na mtu makini kabisa.
4.Kushirikiana na wanachama kuhakikisha 2015 majimbo yote 3(ILEMELA,NYAMAGANA,UKEREWE)yaliyotwaliwa na CHADEMA yanarudi CCM.
5.Kufufua na kuimarisha upya ngome yetu ya CCM ya kanda ya Ziwa.Ni mengi mno,kwa ufupi nawasilisha.
Kidumu CHAMA CHA MAPINDUZI

KIDUMU!

Ebu nisaidie kanda ya Ziwa ina majimbo mangapi? CCM ina mangapi na CDM,CUF,UDP,NCCR ili tupime nguvu ya chama. Msiache kutembelea ukerewe, naambiwa Machemli ni "janga la kisiwa' KARIBU KITAZAMA maake alivyovikuta ndivyo anaendelea kuvitumia hajaongeza chochote zaidi ya "ngano"a.k.a Shayiri.
 
Msisahau arusha......maana mwenyekit wenu anajua nn kilitokea kule meru...bendera za ccm zilishushwa juu ya miti na kupigwa kiberity,,,nataman hizo sherehe zingefanyikia arusha
 
WanaJF,tuna furaha ya kukualikeni kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi kitaifa jijini Mwanza,tuna sababu nyingi za kuifanya sherehe hii hapa:
1.Kuwashukuru wananchi wa kanda ya Ziwa kwa kura walizotupigia ingawa hazikutosha.
2.Kuimarisha chama upya,kuleta mvuto mpya kwa wananchi na wanachama wa CCM kwa kanda ya Ziwa.
3.Kuwaeleza Watanzania namna tunavyoongozwa na mtu makini kabisa.
4.Kushirikiana na wanachama kuhakikisha 2015 majimbo yote 3(ILEMELA,NYAMAGANA,UKEREWE)yaliyotwaliwa na CHADEMA yanarudi CCM.
5.Kufufua na kuimarisha upya ngome yetu ya CCM ya kanda ya Ziwa.Ni mengi mno,kwa ufupi nawasilisha.
Kidumu CHAMA CHA MAPINDUZI

All the best.
 
Kuna umuhimu wa kufuja hela kusherekea wakati watu wakilia na
mfumuko wa bei na maisha magumu?

Au mna sherehekea jinsi watanzania wanavo teseka?

Kumbukeni mnako enda ni sehemu ambayo watu wengi wame funguka akili zao.
 
pamoja na sherehe watawajulisha wananchi harakati za kuvuana magamba zilivyo ngumu
 
WanaJF,tuna furaha ya kukualikeni kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi kitaifa jijini Mwanza,tuna sababu nyingi za kuifanya sherehe hii hapa:
1.Kuwashukuru wananchi wa kanda ya Ziwa kwa kura walizotupigia ingawa hazikutosha.
2.Kuimarisha chama upya,kuleta mvuto mpya kwa wananchi na wanachama wa CCM kwa kanda ya Ziwa.
3.Kuwaeleza Watanzania namna tunavyoongozwa na mtu makini kabisa.
4.Kushirikiana na wanachama kuhakikisha 2015 majimbo yote 3(ILEMELA,NYAMAGANA,UKEREWE)yaliyotwaliwa na CHADEMA yanarudi CCM.
5.Kufufua na kuimarisha upya ngome yetu ya CCM ya kanda ya Ziwa.Ni mengi mno,kwa ufupi nawasilisha.
Kidumu CHAMA CHA MAPINDUZI
Sura ya CCM Mwanza inafanana na uwanja wa CCM Kirumba,Ali Hasani Mwinyi Tabora ambavyo vilijengwa kwa pesa na jasho la Watanzania wote na CCM kivitwaa kinyamela na kuvitelekeza.Jinsi vinavyoonekana hivi sasa ni kioo halisi jinsi gani CCM sasa inavyotazamika!.
 
Wind of change is blowing so strongly kanda ya ziwa, bora mgepeleka sherehe hiyo sehemu zenu ambako upepo wa mabadiliko haujaanza kuvuma maeneo ya Tanga, Tabora na Mtwara
 
WanaJF,tuna furaha ya kukualikeni kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi kitaifa jijini Mwanza,tuna sababu nyingi za kuifanya sherehe hii hapa:
1.Kuwashukuru wananchi wa kanda ya Ziwa kwa kura walizotupigia ingawa hazikutosha.
2.Kuimarisha chama upya,kuleta mvuto mpya kwa wananchi na wanachama wa CCM kwa kanda ya Ziwa.
3.Kuwaeleza Watanzania namna tunavyoongozwa na mtu makini kabisa.
4.Kushirikiana na wanachama kuhakikisha 2015 majimbo yote 3(ILEMELA,NYAMAGANA,UKEREWE)yaliyotwaliwa na CHADEMA yanarudi CCM.
5.Kufufua na kuimarisha upya ngome yetu ya CCM ya kanda ya Ziwa.Ni mengi mno,kwa ufupi nawasilisha.
Kidumu CHAMA CHA MAPINDUZI

Mukama amewadanganya! wananchi hawahitaji sherere kuvutiwa na chama, ili kufufuka lazima ufe kwanza, wananchi wana macho na wanaona kiongozi wa magumashi alivyo hafai, nina maana jk. ili mmalize angalau vizuri kidogo, msijaribu kumpamba check bob jk kwa maneno yoyote kwani mnaweza kupigwa mawe. ni ushauri wa bure.
 
....kutukaribisha mwanza ni sawa na kututukana matusi ya nguoni...ccm iko hovyo inatesa wananchi wake yenyewe...imeleta mafisadi nchini...imesababisha ugumu wa maisha kwa watanzania...hakika ccm ni sawa na mbwa kichaa yaani hamuoni kichaa...
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom