Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sungusungu ni wengi mno ktk uwanja wa ccm na inasemekana wametoka nje ya mji wa mwanza. My take Je wananchi wa kawaida hawakujitokeza kwa wingi ktk kusherekea kuzaliwa kwa ccm? Nawasilisha
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Leo jioni jk ataongea na wazee wa mwanza, kama alivofanya kwa walimu jambo linalotegemewa kuzungumzwa ni mgomo wa madaktari.. Naomba kuwasilisha.
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Inakumbukwa kuwa mwaka jana mwezi wa tano kulikuwa na vuta nikuvute kati ya Mh. Zitto Kabwe na waziri wa Fedha na Uchumi Mh. Mustafa Mkulo. Katika mkutano wa hadhara mjini Mbeya, Zitto alielezea...
5 Reactions
30 Replies
4K Views
Bila ajizi mzee John Malecela amekuwa nguzo muhimu sana kwenye ustawi na kukifika CCM mahali ilipo leo. Ni Kada wa chama hiki kikongwe Afrika ambaye amekuwa akikisimamia kila anachokiamini...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanajf niwapongeze kwa kaz nzuri mnayoifanya hasa ktk jukwaa hili, nimekuwa nikitembelea muda mrefu jukwaa hili kama ngeni nimejifunz meng kutokana na mada zinazoletwa humu na mawazo yanayotolewa...
0 Reactions
3 Replies
861 Views
• na Martin Malera, Dodoma UHUSIANO kati ya wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wao, Rais Jakaya Kikwete, unazidi kuzorota, kiasi cha kutishia nafasi ya kiongozi huyo mkuu wa...
0 Reactions
0 Replies
806 Views
BIG UP MKUU KAMA ILITOKA MOYONI Katibu wa Mambo ya Nje ya Sekretarieti ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Januari Makamba, amesema haogopi kufukuzwa kutoka katika chama hicho, ikiwa hatua hiyo inalenga...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimekaa na wanawake wa Uzini wamefurahi kumuona Dr Slaa akifanya mikutano nao mashambani. Hata hivyo wametaka Profesa Safari aje Zanzibar. Wanasema wamesikia sifa za Profesa huyu katika...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Katibu Mkuu wa CCM nakuheshimu, sikatai siasa za Majigambo, ila Siasa ni mchezo wa kuimarisha maendeleo si vita. Hii Ndiyo tafsiri ya kisasa. Aaaaaaah! Hakuna anaeichukia CCM hicho ndicho...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimepata taarifa kuwa serikali imefuta kesi ya negligent driving dhidi ya jaji ambaye aligonga na kuuwa mtu. Nina washangaa sana watanzania. wakati Kenya naibu jaji mkuu anashughulikiwa kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Star TV.TBC,REDIO UHURU, vyombo hivi vinatumika kuibeba ccm mwanza !!!!!!!!!!! wananchi kunyweni,kuleni maana hizo ni kodi zenu ila mapambano bado yanaendelea !!!!!!!!!!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wana jf najitokeza tena na mada hii,lengo lkwa ni kukialert chama juu ya umuhimu wa viongozi tutakaowaona wanafaa zaidi ili wadumishwe na wale wanaoonekana kukidhoofisha chama(mamluki) ili...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Written by Ashakh (Kiongozi) // 04/02/2012 // Habari // 8 Comments Tibaijuka, Jussa na sheria mpya ya ubaguzi Ahmed Rajab WATANZANIA ni watu wa ajabu kwelikweli. Angalia namna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
katika jambo lisilo la kawaida kwa binadamu mwenye akili timamu wa kufikiria na kutambua lipi baya na lipi zuri ila kwa watanzania imekuwa ngumu na kufikia CHAMA TAWALA KUWAGEUZA MANGEDERE KWA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Namshanga ndugu EL kushindwa kuonyesha dhamira ya kupambana na ufisadi,je yeye ni kipofu wa tatizo la UFISADI?
0 Reactions
2 Replies
919 Views
yaani naangalia kupitia tv jinsi watu wanaojiita wana ccm walivyokaa pale kirumba mwanza yaani jamani jamaa wamechoka mbaya'yaani sura zinaonyesha jinsi wasivyo na matumaini'' Nahisi hawajui nini...
0 Reactions
1 Replies
915 Views
Ndugu zangu, Mgomo wa madaktari wetu ni habari kubwa. Umeingia sasa kwenye wiki ya pili. Hata kama ungekuwa ni wa siku mbili, bado ungesababisha madhara makubwa kwa nchi. Kwamba sasa una zaidi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
ndugu zangu sikuwepo kwa week mbili''nimekunwa sana na kinachoendelea Zambia'tujikumbushe jinsi Pf ilivyoshinda chini ya tume ya Mmd? Kwa kweli Sata hakutakiwa kuwa Rais lakini kuna kitu...
0 Reactions
0 Replies
699 Views
Baada ya MNH kukana kuwalipa posho ya sh laki moja kwa siku madaktari wanajeshi wanafanya idara ya dharura muhimbili,kuna mgoganzano kati wizara hizo juu ya nani awalipipe,kwa sasa ulinzi inaonea...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
ndugu wana jf..... nawasalimia tena kwa hishma na taadhima kuu... si kwa sababu mna sura nzuri, bali kwa uchungu uzalendo na uwezo wenu ulio na mchango mkubwa katika ujenzi wa taifa letu na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom