JK ndio tatizo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK ndio tatizo!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sirikali, Feb 5, 2012.

 1. S

  Sirikali Member

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 84
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Ndugu Jk, wewe ndio tatizo la yanayomsibu Mwakyembe.
  Nduku JK, wewe ndio chanzo la migogoro yote ya kidini hapa nchini.
  Nduku JK, wewe ndio chanzo na kichochezi cha umaskini unaondelea hapa nchini.
  Ndugu JK, naomba nikukumbushe
  1. Kundi la watu waliotumika kucheza njama za kumua Mwakyembe walitumia baadhi ya magari yenye # za STK.
  >wewe ulikuwa wapi?
  >usalama wako hawana taarifa?
  >nani aliwapa hizo gari?
  >hatua gani umechukua kujua undani wa hao wauaji kutumia hizo gari?
  >kwanini ukae kimya?
  >mtoto wako alituhimiwa ufisadi, mbona uliongea? na mahakami mlitishia kumpeleka Dr.PhD wa ukweli.?

  2. Wewe ndio ulimfunga mdomo Mwakyembe hasisome sehemu ya ripoti ya ufisadi wako na EL.
  >Ukimya wako wa kutosema chochote juu ya Mwakyembe ni ushahidi tosha kuwa unahusika na richmond.

  3.mungu wako sheih yahaya, alisema atakayeshindana na wewe atakufa.
  >Hukusema chochote ndugu, au kukemea matamshi kama haya, kwanini tusiamini wewe ndio unayebariki assassination zote?

  Ndugu naijua UWT vizuri, wasingekuwa tayari kupokea amri yako kummaliza Mwakyembe ndio maana mkaamua kutumia njia za panya.

  Kuficha madudu yako ukamleta huyo kibaraka wako awe mkuu hapo UWT. Dhamira ikakushuta ukaona umrudishe yule bwana mdogo ambaye ndio ana sifa zote za kuwa boss pale, lakini kwa visasi ulimtupa kwanza kijijini ili umokomeshe.


  Ninyi admin wa JF mmebana ya kwanza, baneni na hii, acheni kuwa vibaraka, jk anatumaliza huku anacheka, na ninyi ndio wafadhili wakubwa, unafiki wenu utawamaliza.
   
 2. chuki

  chuki JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,691
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Umbea utakuua mtoto wa kiume!
   
 3. S

  Sirikali Member

  #3
  Feb 5, 2012
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 84
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Vp umeachika na mumeo?
   
 4. King2

  King2 JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ukweli mtupu mkuu.
   
 5. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #5
  Feb 5, 2012
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Mkubwa jaa. Mhurumieni jamani.
   
 6. RUV ACTVIST.

  RUV ACTVIST. JF-Expert Member

  #6
  Feb 5, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 471
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Kumbe JF huwa wanabana? mi nilipost nikilia na viongozi wa dini kuishia kukemea kwenye madhabahu kisha wanarudi kwenye mahekaru kimya, post yangu iliondolewa mara moja.
  Labda nidandie hii walioiacha,
  Viongozi wa dini wapo kimya kwa hili la mwkyembe, mgomo wa madaktari, vipi? hawawezi kutuongoza waumini kwenye maandamano? wawe mstali wa mbele? mi naamini viongozi wa dini wakitimiza wajibu wao mabadiliko ni dhahiri na yatakuwa ya haraka. Nini kinawakwamisha? wanaogopa kusurubiwa kama yesu? Religion leaders for sucrifice, Religion leaders for changes.
   
 7. Hagga

  Hagga Member

  #7
  Feb 5, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumuua mwakyembe ni njia salama zaidi kwa JK maana ndo mwenye siri ya Richmond! Kosa la kamanda mwakyembe ni kukubali kukata kile kipande kinachomhusisha JK. kwa kawaida majasusi wakikutuma uume mtu waliyemlenga pia huwa wanandaa mtu akuue wewe haraka iwezekanavyo ili kupoteza ushahidi kabisa.Jikumbushe yaliyomkuta aliyemuua marehemu Laurent Kabila.MAITI HAIONGEI.
   
 8. W

  We know next JF-Expert Member

  #8
  Feb 5, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Haya tunaomba Kurugenzi ya Ikulu ijibu hili kama ilivyojibu suti za waarabu.
   
 9. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #9
  Feb 5, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  inabidi JF ianzishe jukwaa la umbeya ili posts kama hii zikae huko ili wambea wakazodoane
   
 10. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #10
  Feb 5, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  mods kwanini usim ban huyu dada?
   
 11. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #11
  Feb 5, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Umesahau kumtaja alomuokoa mwakyembe kwa kumpeleka Appolo India,ina maana we unauwezo wa kujua maadui zake kuliko yeye mwenyewe,kwa nini haondoki kwenye cabinet? Najua Mzee Sitta kajipa ukatibu mwenez wa Mwakyembe,we una cheo gan?
   
 12. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #12
  Feb 5, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  mungu wangu weee
   
 13. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #13
  Feb 5, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ***********
  hizi ndio siasa za maji taka.....unatafuta sifa zisizo na maana, skia Kama una data hebu ziwaishe kunakostahili ili waliohusika na Hilo jambo wakany** NDOO segedansi....a simple example: TUTAJIE NAMBA ZA HAYO MAGARI YA SIRIKALI YALIYOHUSIKA NA TUKIO LILITOKEA LINI NA WAPI.
  stupid
   
 14. MZIMU

  MZIMU JF-Expert Member

  #14
  Feb 5, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 4,080
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Wewe umepata wapi hizi taarifa. Vizuri uzianike vizuri ili tuhukumu ukweli wake na uongo wake. Likini hivyo zilivyo tu, hazitoshelezi. Unapo andika serious issue kama hiyo, unabidi utu convince. Vinginevyo tunakua na mashaka sisi wengine ambao sio wa kupelekwa pelekwa tu. Lakini hatukuzuii kutumia uhuru wako, ila usiutumie vibaya, maana hapo unagusa heshima, taswira na hadhi ya mtu, ambae bila shaka for your allegations he stands more to loose than you. Kwa hiyo hatuwezi ku kukubalia bila kutoa maelezo ya kutosha. Pia hatuna haki ya kukukejeli kwa ulivyo fanya. Maana hao watu wote wawili ni binadamu ambao wanastahili kulindwa nafsi zao, mali zao na heshima zao.
   
Loading...