Chadema Mnamsikia JK, Ni kweli Kitengo cha propaganda ni mhimili wa chama

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
Jk amesema kweli, kitengo cha propaganda kikipwaya chama kinapwaya. tumekuwa tunasema hapa chadema lazima kuanzisha tv, radio na gazeti kwa ajili ya propaganda. sijui kwanini hamlioni hili?
 
Unaweza kuwa na vyombo vyote hivyo, lakini usipokuwa na watu wanaojua propaganda iliw avitumie vema, itakuwa ni kazi bure
 
Mkuu miaka hii unaongelea propaganda ?Watanzania wa sasa wanautaka ukweli na si propanda .Unaona hata CCM wabungewanagoma ni propaganda hizo walisha jifanya mbuni na sasa wanaona moto wake.Siasa ziwe kweli hakuna zaidi ya hapo.
 
Jk amesema kweli, kitengo cha propaganda kikipwaya chama kinapwaya. tumekuwa tunasema hapa chadema lazima kuanzisha tv, radio na gazeti kwa ajili ya propaganda. sijui kwanini hamlioni hili?
Siasa ni elimu, maarifa na ujuzi ambao hutoa msimamo na msingi wa jamii. Kila jamii huwajibika kufuata misingi iliyowekwa katika maisha ya kila siku. Propaganda sio msingi wa kutambua matatizo yetu katika dunia ya sasa.Wakati wenzetu wanahuhiri mipango sisi tunahubiri propaganda...Huu ni upuuzi.....CDM wasifanye utahira huu...lazima waeleze uhalisia wa maisha duni ya Watanzania na kutoa majawabu sahihi kuelekea mabadiliko ya kweli
 
Mkuu nipo na ki cellullar hapa,nimeshndwa kuigongea like,nikifika home tu naigongea!imetulia sana hii kitu,eti mwenyekiti wa chama anasifia propaganda dunia ya leo
 
Jk amesema kweli, kitengo cha propaganda kikipwaya chama kinapwaya. tumekuwa tunasema hapa chadema lazima kuanzisha tv, radio na gazeti kwa ajili ya propaganda. sijui kwanini hamlioni hili?

Kwa nini unaamini alichokisema Rais ni sahihi?
Ukianzisha TV au chombo chochote cha habari tumia busara kukitumia kwa kusema ukweli, si propaganda. After all, Watanzania wasio na vyama huwezi kuwapata kwa propaganda.

Hebu soma hapa chini:

"Propaganda is a form of communication that is aimed at influencing the attitude of a community toward some cause or position.

As opposed to impartially providing information, propaganda, in its most basic sense, presents information primarily to influence an audience. Propaganda often presents facts selectively (thus possibly lying by omission) to encourage a particular synthesis, or uses loaded messages to produce an emotional rather than rational response to the information presented. The desired result is a change of the attitude toward the subject in the target audience to further a political agenda. Propaganda can be used as a form of political warfare".
 
Propaganda mnzazifanya humu JF si ndogo, kumbe kuna mambo 23 yaliongelewa nyie magwanda mnakazania moja tu "gamba". Duh, inabidi niyatafue hayo ishirini na tatu, leo mwenyekiti katufunguwa masikio wengi sana.

Sikutegemea kuwa magwanda na nyie mnamsikiliza! sasa leo mmemsikiliza kama Mwenyekiti. Slaa hakualikwa basdei Kirumba? au kaingia mitini kama kawa!

Asisikilizwe kwani unafikiri watu watajengaje hoja bila kuwa na evidence?

Labda wangemwalika Shibuda ndio anapenda sherehe mwaliko kwa Slaa ni baadae sana sasa hivi bado anapambana na mafisadi
 
Mkuu miaka hii unaongelea propaganda ?Watanzania wa sasa wanautaka ukweli na si propanda .Unaona hata CCM wabungewanagoma ni propaganda hizo walisha jifanya mbuni na sasa wanaona moto wake.Siasa ziwe kweli hakuna zaidi ya hapo.
Very Very Right Mkuu! propaganda zimepitwa na wakati! Kwa ufisadi ule wa CCM hata Obama akipewa hicho kitengo tutamwelewa? Wafanyieni kazi wananchi bila unafiki na maslahi ya Taifa mbele na si Chama! Ndio maana juzi mmepitisha mswada wa katiba kihuni kuwakomoa CDM mkasahau kuujadili na kuuchambua mkaishia kumtukana Tindu Lissu matusi kibao! Sikusikia Mbunge wa CCM walau akikosoa chochote! Sasa Chadema wamemuelewesha Mh Rais mpaka kimeeleweka mnasusa! Hizo akili matope? Mnasusa kukimbia aibu au mnasusa hayo marekebisho si ya msingi? Kwa hoja gani? Mbunge wa CCM akiwekewa hapo Mbwa aliyevikwa bendera ya CCM na binadamu akaambiwa achague wa kupiga risasi atamtwanga binadamu kwa maslahi ya chama wallahi!!!!
 
Propaganda sio lazima iwe uongo, inaweza kuwa ukweli uliokuzwa au uliofanyiwa ukarabati ili ukidhi malengo. Hakuna siasa inayoweza kuendeshwa bila Propaganda ya aina fulani, tangu ilipoanza mpaka itakapoishia. Usipotumia Propaganda (iwe potofu au ya ukweli, ya kujijenga au kumbomoa adui) basi ujue fika adui yako atakumaliza kwa propaganda. Umma kwa kawaida huRespond kwa kile walichoamini au kuaminishwa bila kusubiri kufanyika utafiti wa kupata ukweli, mfano, mtu akipigiwa kelele ya mwizi vizuri, basi jamii itamuhukumu instantly bila kutaka kuhakikisha ukweli kwanza. CDM iko nyuma sana ki Propaganda kulinganisha na CCM, ukweli wa CDM mara nyingi hufunikwa na Prpgnda za CCM na hivyo kuikosesha ushindi, CCM wanalijua hilo ndio maana imepania kuimarisha kitengo chake cha Prpgnda, hivyo basi CDM ina hiari kuendelea kubaki na ukweli mkavumkavu kisha isubiri kufa iende peponi, au iimarishe kitengo cha Prpgnda kukabiliana na watawala na kuwaondoa madarakani. Zingatieni, hata kwenye Bible kuna Nabii wa M/Mungu alikuwa na Mke mzuri mno, alipoulizwa na watu wa Mfalme fuska kuwa yule ni nani wake akawadanganya kuwa ni Dada yake, angesema ni mkewe wangemuua ili wamtwae
mkewe, Nabii Mohamed (SAW) pia alipojificha kwenye kipango huku akiandamwa na maadui, buibui alijenga utando wake pale pa kuingilia na njiwa akataga palepale kwa muda mfupi ili kuwadanganya maadui wasiamini kuwa kuna watu wamepita pale muda huo, zote hizo ni aina ya Prpgnda. Kazi kwenu CDM!
 
Hujajibu swali, amealikwa au hajaalikwa? maana besdei bila kumualika jirani inakuwa si sawa, au unaonaje? ie sijui sana kuhusu besdei party kwa sababu sizifanyi na wala siendi nikialikwa, sioni mantiki yake.

Unakaugonjwa kakuongea inawezekana maana swali unaloliuliza ulitakiwa uje na jibu kama mlimualika so called baba wa kambo kama mlivyomtuma Nape aseme. Ungeuliza CDM ungejibiwa na K/mwenezi sasa kwa Slaa siumPM anapatikana mpaka fb pia hakimbii kujibu maswali hata ya kipuuzi kama yako na ya Pasco wa JF
 
Hujajibu swali, amealikwa au hajaalikwa? maana besdei bila kumualika jirani inakuwa si sawa, au unaonaje? ie sijui sana kuhusu besdei party kwa sababu sizifanyi na wala siendi nikialikwa, sioni mantiki yake.

Ule ujumbe wa pilau, soda na buku umekupata kweli leo! Naona hata michango yako leo haiko kimagamba sana, inawezekana kesho ukapatiwa uanachama wa CDM, chama la ukweli! Karibu tunakukaribisha, tukupe kitengo cha propaganda!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom