Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Napenda niwashirikishe tafakari yangu: Wakati EAC inavunjika miaka ya 70 watanzania tulikuwa tunawasema wakenya kuwa ni wabinafsi na kweli walikuwa wamefikia hata kuitana waheshimiwa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hapa mbezi umepita msafara wa huyu mkubwa naona sijui anatoka kufanya uzinzuzi wapi.msafara umeshiba kama v 8 sita hivi na magari ya polisi na traffic kama sita hivi.yaani sijaona haja ya makamu...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari Mwana JF, Kulikuwa na wakati ambao viongozi walikuwa na dhana ya Tanzania Kwanza, baadhi yao ni hawa hapa. Unawakumbuka wegine waliokuwa na dhana hiyo. Hebu tukumbushe, mimi nimepata hawa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu sina hakika kama ilishawekwa humu hii kitu ila naomba niiweke km jinsi nilivyoipokea. *Hadi kufikia leo, tarehe 01 February 2012, Rais wa sasa wa Tanzania, amesafiri mara 322 nje ya nchi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJF, Niliwaahidi kuendelea kuwapa updates kuhusiana na tishio la wabunge wa CCM kukataa kuridhia marekebisho ya sheria ya Katiba mpya.Katika mazungumzo yangu na wabunge kadhaa wa CCM...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
JKN Reception Remarks Mr. President, on behalf of myself and the Minister for external Affairs, and other colleagues of mine, I want to thank you very much and your government and the people of...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kufuatia kikao cha Dr. Slaa (CHADEMA) na Ruhuza (NCCR), vyama hivyo vimeamua kushirikiana na kwamba kesi ya uchaguzi aliyofungua Mbatia dhidi ya Mdee itafutwa. TBC 1 saa 10.00 jioni
0 Reactions
0 Replies
924 Views
http://www.raiamwema.co.tz/tukikumbushana-historia-tutazuia-ukoloni-mpya​
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mh Rais, wakati ni ukuta! Kwa mtazamo na mawazo yangu binafsi nakuomba hii nchi itazame kwajicho la tatu! Hii nchi na raia wake wanakutazama wewe kila kukicha wasubiria utabadilisha hali za...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu;Mhe Stephen Masatu Wasira hivi sasa yuko Meru kuhudhuria maadhimisho ya miaka 35 ya Chama Cha Mapinduzi, yanayaofanyika kimkoa mjini Meru, hapa...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Madakatri Bingwa katika hospitali ya taifa Muhimbili wamefanya kikao cha dharura kujadilli hutuba ya Bwana Mponda na kukubaliana kuanza mgomo kupinga taarifa iliyotolewa na serikali Bungeni...
4 Reactions
105 Replies
10K Views
Maadhimisho ya CCM live Startv
0 Reactions
282 Replies
18K Views
Wakuu,nipo Eneo la Shoprite hapa Arusha,naona msafara wa viongozi mbalimbali wa ccm,akiwepo RC wa Arusha,wanapita sokoni kilombero,ndipo soko lote likalipuka na kuanza kuwashambulia,kwa...
0 Reactions
91 Replies
7K Views
katika kusherekea miaka 35 ya C.C.M wana ccm wameamua kuhiji sehemu ambapo historia inaonesha eneo la Mwanza limewahi kuwa chini ya CCM kabla ya kukombolewa na CHADEMA. Wakipita kwa Mwenyekiti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa kile kinachoaminika ni kutoelewana kati ya Wabunge wa CCM na uongozi wa juu wa Nchi, wabunge hao wameamua kufanya mb inu zote Muswada uletwe Ijumaa badala ya Kesho wala Keshokutwa kwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
JK akiri hali ni mbaya serikalini Send to a friend Saturday, 04 February 2012 09:06 0digg Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Spika wa Bunge, Anne Makinda wakati wa maadhimishO ya...
0 Reactions
90 Replies
7K Views
Kwa hali inavyoenda chadema itashinda uchaguzi zanzibar kazi inaendelea ya uhamasishaji ni nzuri sana,watu wa uzini wamehamasika sana !! watu wa uzini wanasubiri siku ya kura kufanya...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Tumekemea ufisadi na rushwa ndani ya CCM,Tumeonyesha maovu,ufisadi,rushwa na madudu kibao ndani ya CCM.Walitubeza na kukanusha kwa muda mrefu baadae wakaibuka na kauli mbiu "Kujivua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajamvi: Habari kutoka vianzo vyangu vya habari (msiniulize ni vyanzo vipi) ni kwamba kuna uwezekano mkubwa kwa JK kuachana kabisa na wazo la Katiba mpya katika kipindi chake cha utawala...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Jamani nimependa kupata upeo wa kila mwana jf, Maoni yenu kweli ni changamoto kubwa sana kwa Taifa na wanasiasa wanaoumia kwa kuwepo kwa huu mtandao, Sasa hebu tuwaumize zaidi wanasiasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom