Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed Hatimaye washirika wa Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed, wamewasilisha maombi kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, kuomba kusajili chama kipya cha Alliance for...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni jambo la kushangaza pale ambapo rais ambaye ana miaka 3 bado madarakani anaingia kwenye siasa za fitna za kutafuta mrithi wake 2015, kimsingi Kikwete ana deni kubwa kwa watz ikizingatiwa katika...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
MSUGUANO kati ya wabunge wa Dar es Salaam na Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi, umeibuka upya baada ya wabunge hao kusema wamepata nyaraka mpya za tuhuma za ufisadi, ukiukwaji wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kesi ile ya matokeo ya lema inaendelea mashahid wanaendelea kujichanganya,nyingine niile alio kataa zamana lema imerushwa mpaka tarehe 30mwezi wa tatu,nyingine niile ya mkesha wa Nmc ina muhusu dr...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
John Mnyika Kamati ya Wabunge wa Dar es Salaam jana ilikutana kwa dharura baada ya kupokea taarifa na nyaraka mpya za tuhuma za ufisadi, ukiukwaji wa sheria, kanuni na maslahi ya wananchi...
0 Reactions
1 Replies
976 Views
TAARIFA kwamba Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CC), imeamuru kura za maoni katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Arumeru Mashariki urudiwe, sio za kufurahisha hata kidogo. Hatutaki kutaja majina ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajamvi, TAARIFA muhimu toka makao makao madogo ya CCM Lumumba zinaeleza kuwa licha ya mabishano ya chopa itumike ama isitumike kutokana na hatari ya mlima meru hatimaye chopa kutumika rasmi...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Spika, Anne Makinda Baadhi ya wabunge wa Bunge, wamesema uongozi wa umma sio fedha pekee na kwamba hawana mpango wa kuachana na siasa kutokana na kulipwa mshahara na posho kidogo. Walitoa kauli...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Lisemwalo lipo, Leo hii wafuasi waliotoka CUf wamewasilisha ombi la kusajili chama kipya kiitwacho ALLIANCE FOR DEMOCRATIC CHANGE kifupi ADC. Source: Magic Radio
3 Reactions
130 Replies
11K Views
TAARIFA KWA UMMA RATIBA YA VIKAO VYA UTEUZI WA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI Kurugenzi ya Habari na Uenezi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inatoa taarifa...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Napenda kuwapongeza sana na kuwaunga mkono wanaharakati wote waliojitokeza katika kuandamana na kuonyesha hisia zao kali dhidi ya serikali wakati wa mgomo wa madaktari takribani wiki mbili...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sorce; MJEMADANI online MJEMADANI online.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mbunge wa Vunjo (TLP), Augustino Mrema Mbunge wa Vunjo (TLP), Augustino Mrema, amewaponda wabunge wanaotaka kujiuzulu ubunge kutokana na posho kuwa ndogo, kwa kuwaeleza kwamba wasitawaliwe na...
0 Reactions
0 Replies
988 Views
CCM Central Committee has directed that preferential voting be conducted afresh in Arumeru East constituency in a quest to get its candidate for the by- election. Speaking in Dar es Salaam...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wa mujibu wa mwandishi wa gazeti la tanzania daima la leo (tar 29/2/2012), Prof. Mahalu alikuwa anajitetea mbele ya hakumu mkazi Kisutu akidai kwamba serikali ilihusika moja kwa moja ikiongozwa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau na wapenda mabadiliko ya kifikra, kisiasa na kijamii! Ni Wazo muafaka sana kwa sasa CHADEMA kuanzisha vyombo vyake rasmi vya Habari ikiwa ni pamoja na TV, Radio na Magazeti. Wazo hili...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hivi vikundi vya vyama vinavyoiywaGuards ni vya nini, viko kwa manufaa ya nani? Kuna Yellow Guards, Green Guards,Blue Guards, White Guards na huenda kuna vingine vya siri. Vikundi hivi nihatari...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Anna Makinda Samamba Speaker wa bung la Tanzania Baadhi ya wabunge wa Bunge, wamesema uongozi wa umma sio fedha pekee na kwamba hawana mpango wa kuachana na siasa kutokana na kulipwa mshahara na...
2 Reactions
67 Replies
9K Views
Ndugu wanaJF, Rais Paul Kagame wa Rwanda ni kiongozi anayeheshimika sana ndani na nje ya bara la Afrika na heshima hiyo anaipta kutokana na yale anayofanya kwa nchi yake na watu wake. Ni hivi...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Wakuu hivi mmewahi kufikiria au imewahi kukupitia ktk mawazo yako ikiwa Rais wetu Mheshimiwa sana Dk. Jakaya M. Kikwete akaomba kugombea tena Urais 2015 kwa mwanya/kisingizio cha kuwapo KATIBA...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Back
Top Bottom