Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Yamezuka mapigano ya kati ya Wamasai wanaoishi Wilaya ya Monduli na wa Wilaya ya Arumeru mkoani wa Arusha, na kusababisha maboma manane yenye nyumba 65 kuchomwa moto katika kijiji cha Mfereji...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni watu watakaokuwemo kwenye tume ya kuratibu na kukusanya maoni kuhusu katiba mpya.ni watu 15 kutona bara na 15 kutoka viviwani.mwisho ni march 16,2012 baada ya hapo rais atakaa na rais wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Spika Anne Makinda ZIKIWA zimepita siku chache toka mbunge wa jimbo la Njombe kusini Anne Makinda ambaye ni spika wa bunge kutangaza kutogombea ubunge tena katika uchaguzi mkuu mwaka 2015...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu nimemuona leo Baba rizi Kavaa nguo safi kabisa yenye utaifa ndani yake. nikawaza kua sasa mchakato wa nini tena kutafuta vazi la taifa wakati lipo hilo lake?? As much as its a waste of time...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
....................kweli kama ni spika tunaye...... http://youtu.be/cQbk5707xoU
0 Reactions
0 Replies
10K Views
Haya tena vijana wa CDM nafasi ndizo hizo nendeni mkapate shule Ujerumani na sio kwenda kujirusha,kwani hii nchi inawahitaji sana vijana wasomi wenye upeo wa kuona mbali na sio kuona mwisho wa...
0 Reactions
62 Replies
6K Views
Ndiyo Wakuu! Katika kutoa majibu mepesi kwenye maswali magumu,serikali kupitia gavana bank kuu ,Prof Ndulu inatarajia kuanzisha sarafu ya miatano .Amedai kuwa noti hizo zinachakaa sana kwa sababu...
0 Reactions
37 Replies
6K Views
Nimepokea taarifa kuwa Comrade Renatus Mkingah, a.k.a Mkinga Mkinga Mwanaharakati machachari na hodari, msemaji asiyeogopa, mtunza ushahidi asiyebabaika Amelazwa Hosipitalini Muhimbili -...
17 Reactions
87 Replies
12K Views
Kwa mara nyingine bendera za chadema zimeshushwa iringa mjini wakati wa ziara ya makamu na kusababisha vijana kushangilia kwa nguvu wakati mbunge wao aliposimama mbele ya makamu kupinga jambo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
huko kwenu sijui hali ikoje?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Waziri kivuli wa sheria na katiba Mh.Tundu lisu leo saa kumi kamili jioni amezuilgwa kufanya mkutano katika chuo kikuu cha mtakatifu agustino Mwanza. Anayedaiwa kutengeneza zengwe la zuwio hilo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni kweli kwamba serikali ime fulia au hela zinaliwa na wachache? Mbona hatuja sikia JK akiahirisha safari kwa kuwa hakuna hela? UDSM kuna tangazo kuubwa kwamba hela za mkopo kwa wanafunzi...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
MVUTANO mkubwa unaotokana na itikadi za kisiasa, umeibuka mbele ya Makamu wa Rais Dk.Mohamed Gharib Bilali kati ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) muda...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanajamii, katika mijadala kadhaa humu mmekuwa mkigusia suala la matatizo katika upatikanaji wa maji katika maeneo mbalimbali ya Dar es salaam mara baada ya mafuriko yaliyotokea Disemba 2011 na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Dar ‘needs a rethink on natural resources' Wednesday, 29 February 2012 08:06 By The Citizen Reporter Dar es Salaam. Tanzania must lay a solid...
1 Reactions
5 Replies
963 Views
<strong><a href="http://vimeo.com/34781996" target="_blank" rel="nofollow">http://vimeo.com/34781996 From Ujamaa to Demokrasia: Reflecting on 50 Years of Independence in Tanzania and the Way...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwao Kiabakari - Musoma. Kaiba jina, mwenye jina kaenda mahakamani! Hii ndiyo CUF zaidi ya uijuavyo. Source: Clouds FMHuyu jamaa alirudia mtihani enzi hizo darasa la saba ukirudia paper unapewa...
0 Reactions
71 Replies
8K Views
  • Closed
MGOMBEA Ubunge wa jimbo la Arumeru Mashariki kwa tiketi ya Chadema, anatarajiwa kujulikana leo, mara baada ya kumalizika zoezi la kupigiwa kura kwa wagombea saba ambao wamejitokeza kuchukua...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimependa sana utetezi wa zitto kuhusu waandishi wa habari na jinsi wanavo jidai kujua mawazo ya watu kwa kutafsiri kile wanacho ongea. Zitto ana point,hakuna sababu za kibailojia zinazo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya Uhuru wengi tutakumbuka kwama Mwl Nyerere alisema Tanganyika haikuwa na matabaka.Ni dhahiri kwamba alikuwa akizungumzia hali ya Wazawa,kwasababu wageni[Wazungu,Wahindi, na Waarabu]...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom