Mvutano na mtifuano umekuwa mkubwa kiasi kwamba CC ya CCM inajuta kwa nini imerudisha maamuzi ya mgombea kwa mkutano wa wilaya ili kupiga kura tena. Hata hivyo makundi sasa yanamenyana na mtandao...
Wakuu wanaJF, nimekuwa nikiona mara kwa mara mavazi ya Ndugu Nape Nnauye siku za hivi karibuni yakiwa katika rangi ya kijani yaliyoshonwa Kimagwanda.
Binafsi ninavyofahamu vazi la Magwanda katika...
Wanabody nimeonaniweke hapa baadhi ya wagombea watakakaoteuliwa na chadema kuipeperusha bendera ya chama hicho kwenye kinyanganyiro cha ubunge jimbo la Arumeru.
1. Joshua Nassary - Muhitimu wa...
Kama CCM ina weza panga mpango wa kuua chama cha siasa na kuweza kufanikiwa au kuiba kura na kufanikiwa au kumuua mtu na kuweza kufanikiwa kwa nini hizi tactics wasiziweke kwenye kumletea...
WAKAZI wa Kata ya Kivule, jijini Dar es Salaam, wamelalamikia kitendo cha madereva wa daladala kuwatoza wanafunzi sh. 300 kwa kisingizio cha ubovu wa barabara.
Wakizungumza katika kikao cha...
Mwananchi, 29/ 02/ 2012 uk 11
Mbunge wa Jimbo la Songwe Philip Mulugo ambaye pia ni naibu waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, amewataka watendaji kata na vijiji kuwakamatana kuwaweka ndani...
WANABODI Naomba tuliangalie hili jambo ili kama inafaa iwe ni hoja ambayo inatakiwa iwe sheri ndani ya katiba mpya ijayo.Nimetoa thread hii baada ya kupata kizungumti kwenye rushwa...
anasema watu wa cuf wanaoshiriki kwenye umoja wa kitaifa zanzibar ni watu 8 tu. anasema ni mawaziri 7 na seif. Rakini ngazi za chini , masheha, wakuu wa wilaya ,mikoa hamna mtu wa cuf hata mmoja.
Msemaji wa cuf anasema hao walio jitoa ndo walikuwa kikwazo ndani ya chama. na hao wote waliojitoa walikuwa kwenye Uchaguzi mdogo wa Igunga. Hadi Hamad Rashid alikuwa Igunga. na kila mtu tulimpa...
Selasini,mbuge wa karatu,wenje kaka mbona kimya ghafla?na wangingine ambao sijawataja hapa.
Wake wa viongozi wetu jamani mbona kama hampoo?tunategemea nyie kwa kushirikiana na bawacha...
Written by administrator // 28/02/2012 // Sauti // 11 Comments
Ally Saleh,
Jumuia kubwa kabisa za kiislamu huko zanzibar ile ya UAMSHO na ya MAIMAMU zimekuwa zikiingia mitaani kutoa elimu...
Mzazi unaweza vipi kumpeleka mtoto kwenye shule ambayo unajua kabisa haina madawati, walimu, vyoo, au nyenzo mbalimbali za kufundishia? Na wananchi wanachukuliaje hali hii je shule hizi zifungwe...
Spika Anne Makinda
ZIKIWA zimepita siku chache toka mbunge wa jimbo la Njombe kusini Anne Makinda ambaye ni spika wa bunge kutangaza kutogombea ubunge tena katika uchaguzi...
KAULI YA NAPE MARA BAADA YA USHINDI WA SIOI: Source: HABARI LEO
Ushindi wa Siyoi: Wakati huohuo, Katibu wa Uenezi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Nape Nnauye, amesema utaratibu wa kuteua...
Selasini,mbuge wa karatu,wenje kaka mbona kimya ghafla?na wangingine ambao sijawataja hapa.
Wake wa viongozi wetu jamani mbona kama hampoo?tunategemea nyie kwa kushirikiana na bawacha...
Utaratibuwa kuhesabu kura na kutangaza matokeo
21 (a) Kazi ya kuhesabu kura itafanyika tu wakati ambapo kuna mwanga wakutosha na wa kuaminika na mahaliambapo kuna ulinzi na usalama madhubuti...
Kura za maoni zinarudiwa baina ya Sioi Sumri na W. Srakikya kwa kuwa hawakufukisha asilimia 50.
Demokrasia CCM ni safu sana.
Source: Nape kupitia Clouds FM
Swali hili limekuwa likiulizwa sana miongoni mwetu, tumekuwa tukijiuliza kwanini Tanzania ni maskini pamoja na maliasili zote tulizonazo?
Leo ningependa kutafakari kuhusu jambo hili kwa kina...
Source: mwananchi 29/2/2012
Wana JF hebu angalieni majibu haya ya Mh. Chiligati halafu mchangie. Mimi nafikiri hana ubavu wa kujiuzulu, nyie je?
Alipoulizwa jana kuhusu tishio lake la kutaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.