Leo kulikuwa na kesi tatu za CHADEMA Arusha zimepigwa tarehe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Leo kulikuwa na kesi tatu za CHADEMA Arusha zimepigwa tarehe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sokoinei, Feb 29, 2012.

 1. s

  sokoinei JF-Expert Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,835
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kesi ile ya matokeo ya lema inaendelea mashahid wanaendelea kujichanganya,nyingine niile alio kataa zamana lema imerushwa mpaka tarehe 30mwezi wa tatu,nyingine niile ya mkesha wa Nmc ina muhusu dr slaa,tundu lisu na wengine 17 imepigwa tarehe mpaka 23 mwez wa tatu,japo tundulisu yukn mwanza kwa kazi ya uwakil.nawasilisha
   
Loading...