CCM kutumia helikopta ktk kampeni Arumeru

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,651
2,627
Wanajamvi,

TAARIFA muhimu toka makao makao madogo ya CCM Lumumba zinaeleza kuwa licha ya mabishano ya chopa itumike ama isitumike kutokana na hatari ya mlima meru hatimaye chopa kutumika rasmi ktk siku za mwisho wa kampeni.

Habari ambazo zimethibitishwa mtu wangu wa karibu lumumba zinasema wale waliokuwa wanapinga chopa kutumika wana hoja za 10% kuwaendea wanaotaka chopa ktk ukodishaji.

YOTE KWA YOTE NI JINSI YA KUKABILIANA NA MOTO WA CHADEMA WANAOKUBALIKA ktk jimbo la meru.
 
Watumie hata chopa 5, kwani kama chopa ingekuwa inaleta ushindi CUF wasingevuna aibu Igunga.
 
Hii ya chopa imekuwa kama fashion sasa. Noana hata kwenye kampeni CCM nao wanatumia magwanda siku hizi. Kwa nini wasije na idae yao mpya kuliko kila kitu kuiga CDM. Nakumbuka Makamba Sn alikuwa anaponda na kutoa tathmini ya kutumia chopa kwa kusema ni matumizi mabaya ya pesa sasa tunapanga kutumia chopa nne hapo Arumeru tu..tunasahau what we stand for..
 
ZALEOLEO,usitutoe nje ya mada.sisi tunasema ivi hata hata waki2mia chopa 10 hazitasaidia.cdm 2tatumia baiskeli na 2nashinda
 
Tujaribu hata kutafuta pesa za kuwapatia vijana wasio na ajira engalau part time jobs kuwaelimisha wanakijiji ulimaji wa mboga za majani , usindikaji ,ukaushaji na au kuhifadhi kwa kutumia vinegar source wauze kwenye soko la China ambalo vitu hivyo ni zero tarriff na vitaweza kuinua hali ya maisha ya wanakijiji na zitaleta ajira na kuinua pato la mtu. Hiyo Chopa sawa itumike tu, baada ya Uchaguzi ziongezeke mbinu na ubunifu wa kupunguza makali ya maisha. Ningependa CCM wawe wanakuja na demonstrated examples za kuinua pato la wapiga kura wao.
 
Wajue tu kuiga kunya kwa tembo hupasuka msamba, hiyo ni fani ya cdm wawaachie ndo wanaiwezea na magamba nyie endeleni kutumia mashangingi ya serikali kama mlivyozoeleka
 
Tehe tehe,mtaji wa TLP meru ni mgognro uliotatuliwa na mrema mwka wa 94
 
Jiwe lililokataliwa na waashi.... Mara ya kwanza CDM wanatumia helikopta, Nakumbuka mzee Malecela alisema wao (CDM) "wanajaza watoto" wanaoenda kushangaa helikopta, wakati sisi (CCM) tunajaza "watu wazima" wanaokuja kusikiliza sera
 
Wanajamvi,

TAARIFA muhimu toka makao makao madogo ya CCM Lumumba zinaeleza kuwa licha ya mabishano ya chopa itumike ama isitumike kutokana na hatari ya mlima meru hatimaye chopa kutumika rasmi ktk siku za mwisho wa kampeni.

Habari ambazo zimethibitishwa mtu wangu wa karibu lumumba zinasema wale waliokuwa wanapinga chopa kutumika wana hoja za 10% kuwaendea wanaotaka chopa ktk ukodishaji.

YOTE KWA YOTE NI JINSI YA KUKABILIANA NA MOTO WA CHADEMA WANAOKUBALIKA ktk jimbo la meru.

Kwa kawaida mtu akikuiga wewe tumia mbinu nyingine CDM MCHWA STAILI MWENDO mdundo.
 
Hiring a chopper is wastage of money knowing that you have already lost the battle.
 
Back
Top Bottom