Mh. Kikwete fanya kazi, acha kutumia watu kumchafua Lowassa

naninibaraka

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
910
668
Ni jambo la kushangaza pale ambapo rais ambaye ana miaka 3 bado madarakani anaingia kwenye siasa za fitna za kutafuta mrithi wake 2015, kimsingi Kikwete ana deni kubwa kwa watz ikizingatiwa katika kipindi cha uongozi wake binafsi sioni lolote analofanya,r ais wetu amekuwa aki deal na mambo ya kidaku zaid ndo maana mambo mengi yamekwama.

Nchi haiongozwi kwa elimu dunia haya mambo yalishapitwa na wakati, kimsingi rais hajajibu hoja za msingi za Lowassa, pale dodoma Lowassa alinukuliwa akisema hakuna alilofanya bila wewe kuagiza au kujua kuhusu richmond hata mimi naamini we huu mchafu ila kwa kuwa wewe una madaraka wa kukunyoshea kidole hamna, hata wakian Nape wanasimama jukwaani kwa ujasiri kuchafua watu kwa baraka zako, uchafu wako utaonekana zaid pale utakapoachia madaraka ya nchi.

Rais ameshindwa kufanya kazi ndo mana wakati mwingi anahudhuria misiba na sherehe na kusikiliza siasa za udaku za mtaani,kuwa rais ni kudra za mwenyezi mungu kama ambavyo umewahi kunukuliwa,tuombe mungu atupe kiongozi legelege kwani kiongozi wa namna hurudisha maendeleo ya watz nyuma..

Nawasilisha
 
huyu hajui nini anfanya yaani kumjadili ni sawa na kupoteza muda na kuwa hatuna maarifa kama alivyo yeye..
 
Kuna taarifa zinasema kuwa kwa sasa hawezi kwenda mataifa ya hapa jirani(East African Community), maana anajua atasutwa kwa jinsi nchi yake ilivyonyuma...
 
May be uko sawa....ila ungeweka majina ya wahusika na incidences zao ungekuwa umejitoa kwenye siasa za kuchafuana otherwise you sound to be a figure of the same dimension but with a different colour

I do hate hypocrites
 
loooh,jk na lowasa ni marafki wa cku nyingi na hawajakutana barabarani wanajf
 
Ni jambo la kushangaza pale ambapo rais ambaye ana miaka 3 bado madarakani anaingia kwenye siasa za fitna za kutafuta mrithi wake 2015, kimsingi Kikwete ana deni kubwa kwa watz ikizingatiwa katika kipindi cha uongozi wake binafsi sioni lolote analofanya,r ais wetu amekuwa aki deal na mambo ya kidaku zaid ndo maana mambo mengi yamekwama.

Nchi haiongozwi kwa elimu dunia haya mambo yalishapitwa na wakati, kimsingi rais hajajibu hoja za msingi za Lowassa, pale dodoma Lowassa alinukuliwa akisema hakuna alilofanya bila wewe kuagiza au kujua kuhusu richmond hata mimi naamini we huu mchafu ila kwa kuwa wewe una madaraka wa kukunyoshea kidole hamna, hata wakian Nape wanasimama jukwaani kwa ujasiri kuchafua watu kwa baraka zako, uchafu wako utaonekana zaid pale utakapoachia madaraka ya nchi.

Rais ameshindwa kufanya kazi ndo mana wakati mwingi anahudhuria misiba na sherehe na kusikiliza siasa za udaku za mtaani,kuwa rais ni kudra za mwenyezi mungu kama ambavyo umewahi kunukuliwa,tuombe mungu atupe kiongozi legelege kwani kiongozi wa namna hurudisha maendeleo ya watz nyuma..

Nawasilisha
Pitia kwanza thread yko uedit. Wewe kuandika tu hujui, mambo ya urais utayajuaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom