Cuf wanawashukuru wote walio jitoa kwenye chama

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,495
3,458
Msemaji wa cuf anasema hao walio jitoa ndo walikuwa kikwazo ndani ya chama. na hao wote waliojitoa walikuwa kwenye Uchaguzi mdogo wa Igunga. Hadi Hamad Rashid alikuwa Igunga. na kila mtu tulimpa vitendea kazi vikiewepo pesa, pendera, vipeperushi na kila mmoja alikuwa amepewa majukumu na kumkabidhi sehemu ya kuratibu. kwani tuliwatawanya kutokana na maeneo. Lakini mwisho wa siku tulivuna aibu. Hakika sasa watanzania watakuwa wamejua kwanini tulishindwa Igunga. source tarifa ya habari wapo radio.
 
Hakuna ukweli hapo isipokuwab ni ile hadithi ya "Sizitaki mbichi hizi"!!!!
 
Msemaji wa cuf anasema hao walio jitoa ndo walikuwa kikwazo ndani ya chama. na hao wote waliojitoa walikuwa kwenye Uchaguzi mdogo wa Igunga. Hadi Hamad Rashid alikuwa Igunga. na kila mtu tulimpa vitendea kazi vikiewepo pesa, pendera, vipeperushi na kila mmoja alikuwa amepewa majukumu na kumkabidhi sehemu ya kuratibu. kwani tuliwatawanya kutokana na maeneo. Lakini mwisho wa siku tulivuna aibu. Hakika sasa watanzania watakuwa wamejua kwanini tulishindwa Igunga. source tarifa ya habari wapo radio.

Wanataka tuamini wanachoamini wao, mmh! Hilo haliwezekani......inamaana Saidi Miraji nae alikuwa Igunga? Waseme ukweli hao, mbona hawasemi kule igunga walikuwa wanazunguka na wenyeji wao ikifika taimu ya kula wanaingia sehemu huku wenyeji wakisubiri nje kana kwamba wenyeji huwa hawasikiagi njaa. Dhambi ya Ubaguzi inawatafuna tartiiiibu.
 
Mkuu kama hii ni kweli basi ni mbaya sana unajua ufisadi chanzo chake ni ubinafsi
 
Rest in peace CUF ndio faida ya kuendekeza ubaguzi wa kidini, dhambi hiyo itawatafuna milele na mimi nafurahi nipo hai nikishuhudia CUF ikitafunwa.
Bora tubaki na CCM (kama nayo haitakuwa na udini) kuliko kushabikia vyama vinavyoasisi na kulea ubaguzi hasa wa kidini kama CUF
 
M mhhhh hapo cuf mumechemusha.hao ni bahadhi ya wanachama ambao wam eamua kumfunga paka kengele,wapo wanachama wengi muda ukifika watajitoa kwenye chama.kikubwa ushauri kwa mtatiro na wengine ambao sauti zao zinasikika wakae na waangalie nini chanzo cha wanachama kuanzaa kukimbia
 
Mkuu kama hii ni kweli basi ni mbaya sana unajua ufisadi chanzo chake ni ubinafsi

Nimemnukuu Limbu, alishuhudia kwa macho yake na alipambana nalo sana hili suala walipokuwa kule na moja kati ya sababu za yeye kujitoa ni aina hii ya tabia walizonazo viongozi wale....inasikitisha sana na hakika ufisadi chanzo chake ni ubinafsi. Aina hii ya viongozi ndio zao la kifisadi
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom