Wagombe wa chadema arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wagombe wa chadema arumeru

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Kurunzi, Feb 29, 2012.

 1. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180
  Wanabody nimeonaniweke hapa baadhi ya wagombea watakakaoteuliwa na chadema kuipeperusha bendera ya chama hicho kwenye kinyanganyiro cha ubunge jimbo la Arumeru.

  1. Joshua Nassary - Muhitimu wa chuo kikuu UDSM 2009 shahada ya sayansi ya jamii katika masuala ya utengenezaji sera na utawala anauzoefu alioupata katika uchaguzi uliopita ambapo aliibuka na kura zaidi ya 19000.

  2. Anna Mghwiri ni mmoja wa waliochukuwa fomu ambaye taatuma yake ni mwanasheria mtaalamu wa sheria za kimataifa ya haki za binadamu (LLM in International human rights law),

  Amesaidia wananchi mbali mbali wa Arumeru mashariki masuala ya kisheria.

  Pia ni mtetezi wa haki za binadamu mwenyeuzoefu mpana katika kazi za serikali za mitaa, mashirika yasiyo ya kiserikali.

  3. Godllove Ismail huyu naye ni muhitimu wa chuo kikuu Stashada ya biashara BCOM chuo kikuu cha Udsm anafanyakazi katika shirika la kifedha USAWA NA FERT linalotoa fedha kwa wajasiria mali wadogo na SACCOS.

  Ningependa tuwachambue hawa na wengine walio baki tuone nani anauwezo wa kupeperusha bendera ya chadema.
   
 2. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Edit heading yako mkuu,
   
 3. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0

  NA WEWE UMEMALIZA NINI WAPI??SEMA NA WEWE TUKUJUE KABLA HATUJAANZA KUWACHAMBUA WATU TUNAOWAJUA VIzURI
   
Loading...