Aliyezoea vya kunyonga......Kama CCM ina weza panga mpango wa kuua chama cha siasa na kuweza kufanikiwa au kuiba kura na kufanikiwa au kumuua mtu na kuweza kufanikiwa kwa nini hizi tactics wasiziweke kwenye kumletea maendeleo mtanzania?
just thinking loud !