Wabunge hawa pamoja na wake wa viongozi wetu mbona hamsomeki??!

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
Selasini,mbuge wa karatu,wenje kaka mbona kimya ghafla?na wangingine ambao sijawataja hapa.

Wake wa viongozi wetu jamani mbona kama hampoo?tunategemea nyie kwa kushirikiana na bawacha muwaunganishe wanawake tanzania kwaajili ya ukombozi kamili 2015 lakini mpaka sasa hamjaamka tu?
 
Back
Top Bottom