Nape Nnauye analizimia Gwanda la CHADEMA

TUMBIRI

JF-Expert Member
May 7, 2011
1,933
1,199
Wakuu wanaJF, nimekuwa nikiona mara kwa mara mavazi ya Ndugu Nape Nnauye siku za hivi karibuni yakiwa katika rangi ya kijani yaliyoshonwa Kimagwanda.

Binafsi ninavyofahamu vazi la Magwanda katika harakati za kisiasa kwa hapa nchini kwetu liliasisiwa na Freeman Aikael Mbowe wakati wa uchaguzi Mkuu 2005 akiwa mgombea Urais. Tangu wakati huo hadi leo vazi hilo limekuwa likitumiwa na CHADEMA katika rangi tofauti tofauti mfano Kaki, Nyeusi, Kijivu, nk kama vazi rasmi la chama hicho.

Na tafsiri ya haraka haraka kwa mtu anaevaa Gwanda ni ishara ya kuonyesha jamii kwamba yupo katika harakati za kuikomboa jamii hiyo. Sasa ndugu yetu Nape anavyovyaa Gwanda anatuambia kwamba anataka kutukomboa kutoka kwa nani? Na je ni lini CCM iliafiki matumizi ya Gwanda kama vazi lao rasmi.

My take to Nape: Kama analipendea vazi la Gwandwa is better aungane na waasisi wa vazi hilo ambao wako katika harakati za kuking'oa chama chake. Unless atuambie na yeye yupo katika harakati za kuking'oa hicho hicho.

Hizi ni baadhi ya Picha za Nape akiwa ndani ya Gwanda:-

319156_286002928087794_100000342668655_1013771_219457645_n.jpg

310401_261183447236409_100000342668655_924186_429896_n.jpg

311405_277900775564676_100000342668655_985012_1365890730_n.jpg
 
Wewe hujui kuwa ndani ya CCM kuna vyama vingi? Mfano, chama cha Lowassa, cha Sitta, cha Membe, cha Makinda, cha Migire nk! Mtafute Nape umuulize kuwa yeye yuko chama gani ndani ya CCM?

Aise! Hili nalo neno! Nashukuru kwa kunikumbusha Mkuu. Na kwa haraka haraka tunaona kwamba chama cha Nape jezi yao ni Gwanda la kijani! Sasa hatujui vyama vingine!
 
teh teh teh kwa mara ya kwanza nilimuona fb mtu alipost picha yake akisherekea miaka 35 yao kule mwanza, nkacheka saaaaana. Ataacha tu maana hata pinda hayapendi na hivi mlivyomchongea ndo kabisa. Anafikiri watu kwa chadema wanapenda gwanda tu, anasahau kuwa watz wakiona rangi ya kijani tu hata kama ni ya gari tunajisikia vibaya na maisha haya magumu
 
Na Mwenyekiti wa CCM JK ndiyo kabisa baada ya kuelewa somo la katiba toka CDM, tizama picha:
mso1.jpg
 
mani acheni utani mbona mavazi haayo ni ya muda mrefu tu kwenye UVCCM na chipukizi? Haya mavazi ya kimgambo mgambo yamekuwa yakivaliwa tangu zamani sana na chipukizi, scouts, IOGT n.k
Ur right man, ten haya mashati anayovaa Nape ndio haswa yalikuwa yanavaliwa na wale waliokunywa maji ya bendera, haya mashati ya kisasa yameanza kuvaliwa baada ya CCM kupinduliwa na kutwaliwa na mabepari, ndio wakaona hawawezi kuvaa yale makaki ya kijani, nakumbuka hii mishati hata Nyerere alikuwa anaikwepa sana maana ilikuwa ni nadra sana kumuona Nyerere na uniform za CCM.
 
Wewe hujui kuwa ndani ya CCM kuna vyama vingi? Mfano, chama cha Lowassa, cha Sitta, cha Membe, cha Makinda, cha Migire nk! Mtafute Nape umuulize kuwa yeye yuko chama gani ndani ya CCM?
Nape na Bashe wapo vyama viwili tofauti ndani ya CCM.
 
watoto wa juzi bana, mna aibisha fanyeni h/work kidogo

infact hapa Nape anastahili sifa kukumbushia jezi za zamani za ccm chipukizi na kisaikolojia anakimaliza chama chetu CDM, kwa ubora na mvuto wa rangi Kijani iko juu...it is acolour of life though CCM dont bring any life
 
Huyu dogo ana mbwembwe sana yeyena anajua huko aliko hakumfai sema uzuzu ndio unaomsumbua kubaki huko Magambani.
 
hahahah we bana! haya meusi kwa kwei ndio yangekuwa signature hasa ya CDM; sikumbuki kuvaa haya meusi kwa kweli. Ila yale ya kijani usiseme tena ukivalia na kibereta chako cheusi unaweza kujihisi wewe FFU (a.k.a Navy SEALs). Ukipita mbelle ya mgeni wa heshima "na kutoa heshima kulia kikosi cha bendera kikiongoza" basi ni vurugu tupu!
 
Nape alikuwa anapambana na uvuaji gamba ndo maana akawa anavaa gwanda akidhania gamba ni jepesi!
Sasa atabadilisha baada ya kushindwa kuvua GAMBA!!
 
mani acheni utani mbona mavazi haayo ni ya muda mrefu tu kwenye UVCCM na chipukizi? Haya mavazi ya kimgambo mgambo yamekuwa yakivaliwa tangu zamani sana na chipukizi, scouts, IOGT n.k
Mavazi hayo CCM wamerithi kitoka Tanu Youth League ambayo sasa ndio UVCCM naYoung Pioneers ambao sasa ndio Chipukizi!. Na kwa wenye picha za zamani Mgambo ndio ilikuwa Kijivu na polisi walivaa kaptura za khaki na stocking nyeusi!.
 
hahahah we bana! haya meusi kwa kwei ndio yangekuwa signature hasa ya CDM; sikumbuki kuvaa haya meusi kwa kweli. Ila yale ya kijani usiseme tena ukivalia na kibereta chako cheusi unaweza kujihisi wewe FFU (a.k.a Navy SEALs). Ukipita mbelle ya mgeni wa heshima "na kutoa heshima kulia kikosi cha bendera kikiongoza" basi ni vurugu tupu!

tafuta hili toleo http://cdn2.iofferphoto.com/img/item/101/731/139/5cplzuVSm8nwAmC.jpg la mwaka 1975 ndani lina picha nzuri sana ya chipukizi, the best i have ever seen !
 
Ur right man, ten haya mashati anayovaa Nape ndio haswa yalikuwa yanavaliwa na wale waliokunywa maji ya bendera, haya mashati ya kisasa yameanza kuvaliwa baada ya CCM kupinduliwa na kutwaliwa na mabepari, ndio wakaona hawawezi kuvaa yale makaki ya kijani, nakumbuka hii mishati hata Nyerere alikuwa anaikwepa sana maana ilikuwa ni nadra sana kumuona Nyerere na uniform za CCM.

Yeyote mwenye picha ya Mwalimu akiwa ndani ya uniform ya CCM aitundike humu
 
Back
Top Bottom