Katiba mpya; itoe adhabu kwa vyama vya siasa vinavyo shadadia Rushwa

TEMILUGODA

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
1,389
285
WANABODI Naomba tuliangalie hili jambo ili kama inafaa iwe ni hoja ambayo inatakiwa iwe sheri ndani ya katiba mpya ijayo.Nimetoa thread hii baada ya kupata kizungumti kwenye rushwa iliyotembea/inayoendelea Arumeru pamoja na jitihada za TAKUKURU. KWA NINI TUSIWEKE WAKATI AMBAPO UJERUMANI WALIWEZA HADI CHAMA KIKAFUTWA? Misri chama cha H Mbarak kimefutwa na kutaifisha mali zake zote.YOTE HAYA YANAWEZEKANA KWA KATIBA MURUA.
 
Back
Top Bottom