Sauti: Mahojiano na Sheikh Khalid Azani – Muungano

abdulahsaf

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
858
130
[h=1][/h]Written by administrator // 28/02/2012 // Sauti // 11 Comments

sheikh_azzan_khalid-564x272.jpg

Ally Saleh,
Jumuia kubwa kabisa za kiislamu huko zanzibar ile ya UAMSHO na ya MAIMAMU zimekuwa zikiingia mitaani kutoa elimu ya uraia kuwatayarisha watu kwa ajili ya mjadala wa taifa wa katiba ambao utaanza karibuni lakini kumekuwa na lawama kadhaa dhidi yao. moja ni kwamba wanatumia kukwaa la dini kuwashawishi wazanzibari wakatae muungano kwa karata ya dini lakini pili wanahamasisha wazanzibari wasihudhurie vikao vya tume ya katiba itapokuja Zanzibar, jumuia za UAMSHO na maimamu zinakana kufanya hivyo lakini hazikuficha msimamo wao kuwa zinawataka wazanzibari wote waukatae muungano na wadai kuvunjika ili irudi jamhuri ya watu wa Zanzibar.
Mwandishi wetu Ally Saleh amezungumza na Sheikh Khalid Azani wa jumuia ya uamsho kuhusu mihadhara yao hiyo na kwanza kumuuliza wanawambia nini waislamu wanahudhuria mihadhara yao?

bonyeza hapa
Sauti:Mahojiano na Sheikh Khalid Azani – Muungano | Mzalendo.net
 
ndugu zangu hizi choko choko mtaacha lini ?

Baada ya kulizwa watu wa Pande mbili za nchi husika Tanganyika na Zanzibar ,ikiwa upande moja utakaata Muungano basi sio zambi .Muungano ni ridhaa ya watu wenyewe sio chana. sasa jee chokochoko ipo wapi hapo ndugu yangu?.

Pilau sio chakula kizuri kwa watu wote wenginehupenda Nguna (Ugali wala huwezi ku walazimicha kuwa Pilau ni bora).
 
By the way hii itafunguwa milango kurudisha Tanganyika yenu musemayo ccm wameiuwa na Zanzibar ikaweko?
 
Back
Top Bottom