Chiligati: Na hii imevuja tena kutoka CC ya CCM - Kampeni chafu dhidi ya Sioi Sumari

chachana

Member
Aug 4, 2011
57
92
Mvutano na mtifuano umekuwa mkubwa kiasi kwamba CC ya CCM inajuta kwa nini imerudisha maamuzi ya mgombea kwa mkutano wa wilaya ili kupiga kura tena. Hata hivyo makundi sasa yanamenyana na mtandao ulio kinyume na Sioi Sumari umemzushia kijana huyo propaganda chafu yenye kutia kinyaa. Habari zilizozagaa huko meru ni kuwa sioi hayuko sawa na amekuwa anafanya mchezo wa ajabu (watu wazima mtaelewa).

Kambi hiyo imeendeleza propaganda zaidi kwa kusema kuwa kitendo cha Sioi kuamua kugombea wakati hata marehemu baba yake hajatimiza 40 (tumbo halijapasuka) ni ishara kuwa kijana huyu amemfanyia kitu baba yake.

Yote haya yamekuwa yakirushwa ili kujenga mazingira ya sioi sumari apigwe chini na Sarakikya apitishwe. Habari ni kuwa sababu zilizotolewa za kumpiga chini Sioi zilikosa mashiko na hivyo CC ikaona irudishe kura za maoni tena na hapo sasa propaganda ya nguvu ipigwe ili kupunguza kura za sioi na kusaka kura zilizokuwa za Elishilia na Elirehema.
 
I see,
Hizi ni kampeni chafu kabisa!...Wanaona yote haya baada ya yeye kuwa mgombea tu?...
 
Sioi akishinda ndo mtaitaijua CCM ikoje!!!
Subirini muone mnyukano huu!!
 
Sioi kweli amgesubiri hadi 2015, yaani hata arobaini ya babake haijafanyika mtoto anafikiria 'posho' ambazo zimepungua hadi Makinda anaamua kustaafu?
Yote pembeni, kupigwa kwake chini ni 'indirect' technic ya kumvua gamba jamaa ambaye yeye halioni gamba lake (anamnyooshea mwenye nymba kwamba ndo gamba). SIASA ni wehu.
 
Ikifika mahali watanzania wakachoka na siasa za namna hii, basi wataomba sheria ya uthibi wa lugha na vitendo vibovu kwenye uwanja wa siasa. Hawa wanaoleta hizi siasa chafu ni watu hatari sana na wameishiwa hoja kabisa. Wanatakiwa wapambane kwa nguvu za HOJA
 
Mvutano na mtifuano umekuwa mkubwa kiasi kwamba CC ya CCM inajuta kwa nini imerudisha maamuzi ya mgombea kwa mkutano wa wilaya ili kupiga kura tena. Hata hivyo makundi sasa yanamenyana na mtandao ulio kinyume na sioi sumari umemzushia kijana huyo propaganda chafu yenye kutia kinyaa. Habari zilizozagaa huko meru ni kuwa sioi hayuko sawa na amekuwa anafanya mchezo wa ajabu (watu wazima mtaelewa).

Kambi hiyo imeendeleza propaganda zaidi kwa kusema kuwa kitendo cha sioi kuamua kugombea wakati hata marehemu baba yake hajatimiza 40 (tumbo halijapasuka) ni ishara kuwa kijana huyu amemfanyia kitu baba yake.

Yote haya yamekuwa yakirushwa ili kujenga mazingira ya sioi sumari apigwe chini na sarakikya apitishwe. Habari ni kuwa sababu zilizotolewa za kumpiga chini sioi zilikosa mashiko na hivyo CC ikaona irudishe kura za maoni tena na hapo sasa propaganda ya nguvu ipigwe ili kupunguza kura za sioi na kusaka kura zilizokuwa za elishilia na elirehema.

hapo kwenye habari zilizozagaa, ndiyo sababu amejiapizia jina kuwa haoi ee!!!!
 
Kwani mna hakika kuwa hana hiyo tabia chafu? Inasemekana tangu arudi toka Marekani, ambako tabia hiyo ni ya kawaida na inatambulika kisheria, hayuko kawaida kimwenendo vile alivyokuwa kabla hajaenda.
 
Kwani mna hakika kuwa hana hiyo tabia chafu? Inasemekana tangu arudi toka Marekani, ambako tabia hiyo ni ya kawaida na inatambulika kisheria, hayuko kawaida kimwenendo vile alivyokuwa kabla hajaenda.

Kwani Camerun wake ni nani?
 
Dah, hii habari imeniumiza. Madaraka madaraka madaraka ambayo sisiemu wameyafanya kitegauchumi ni issue!!!!!
 
Ebu tuabalisheni wanamcamerun au anakameruniwa?
Tutasikia mengi mpaka uchaguzi uishe!
 
Inaonyesha jinsi koo za kisiasa zinavyopambana, i mean wale walihodhi siasa za nchi hii na kuzifanya ni za kifamilia
 
Sioi kweli amgesubiri hadi 2015, yaani hata arobaini ya babake haijafanyika mtoto anafikiria 'posho' ambazo zimepungua hadi Makinda anaamua kustaafu?
Yote pembeni, kupigwa kwake chini ni 'indirect' technic ya kumvua gamba jamaa ambaye yeye halioni gamba lake (anamnyooshea mwenye nymba kwamba ndo gamba). SIASA ni wehu.

Hii 'arobaini' ni mila za Pwani, sasa yeye zinamhusu vipi!? Kama ingekuwa ni mila ya kwao hata wazee wa kimila huko Arumeru wangemshauri, lakini arumeru hawaoni arobaini ni tatizo...labda nyie watu wa Pwani kwenu ndio muone tatizo.

Hata uteuzi wa Kabila na Kim Jong Un haukusubiri 'arobaini'....sababu si mila zao!
 
kupigwa kwake chini ni 'indirect' technic ya kumvua gamba jamaa ambaye yeye halioni gamba lake (anamnyooshea mwenye nymba kwamba ndo gamba). SIASA ni wehu.

Heee kumbe Sioi nae ni mtu wa upande wa yale magamba magumu kuvulika kule CCM?
 
Chiligati ana mtindio wa kufikiri. 2010 alisimamia hoja ya kuwa Bashe sio raia na akawa anasema kwa mbwembwe tu. Siku imethibitika kuwa jamaa ni raia na kwenye kinyanganyiro cha ubunge washamtosa ndo Chiligati alitakiwa ajiuzulu.
Hapa ni sarakasi as usual
 
Hayo hayo ndo maneno yanayotumiwa kama ushahidi kubatilisha ubunge wa Lema kule Arusha mjini! Hii CCM inajua inafanya nini kweli? Au wote wamakuwa wehu!!!
 
Hii 'arobaini' ni mila za Pwani, sasa yeye zinamhusu vipi!? Kama ingekuwa ni mila ya kwao hata wazee wa kimila huko Arumeru wangemshauri, lakini arumeru hawaoni arobaini ni tatizo...labda nyie watu wa Pwani kwenu ndio muone tatizo.

Hata uteuzi wa Kabila na Kim Jong Un haukusubiri 'arobaini'....sababu si mila zao!

Hata Joseph Kabila HAKUSUBIRI AROBAINI pamoja na kukulia pwani ya Dari Salama
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom