Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Category: East Africa Published on 28 February 2012 Dar es Salaam. Tanzania has been ranked as the most democratic nation in East Africa region in a research which covered 165 independent...
0 Reactions
1 Replies
965 Views
Leo asubuhi nimesikia habari Radio Free Afrika kuwa mwanasiasa machachari kutoka CHADEMA Tundu Lissu aliomba kufanya mhadhara katika viunga vya chuo kikuu SAUT Mwanza. hata hivyo hilo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni pale ilipotokea kwa viongozi wa CUF wakiongozwa na katibu wao bara Ndg. Mtatiro kufanya mikutano ya mfululizo katika wilaya za mkoa wa Tabora na kuambulia maputu huku wakitumia mbinu za...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Muendelezo wa mauaji ya polisi umeendelea kutokea Urambo, Tabora. Jana polisi wamemuua kwa kumpiga kijana anayeitwa Mgalula kwa kumtuhumu ni mwizi, hawakutaka kumpeleka mbele ya vyombo vya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Source:blogu ya michuzi. Taarifa ya ikulu kwa vyombo vya habari inasema kwamba, Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania jana (29/2/2012) ametoa mwaliko kwa wadau mbali mbali kuwasilisha majina...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Jinamizi linaloendelea kukitesa Chama cha Wananchi (CUF) limeendelea kukigubika chama hicho, kufuatia Uongozi wake Manispaa ya Mtwara-Mikindani kujiuzulu. Tukio hilo lilitokea jana baada ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimeonelea ni vyema kuonyesha hatari kubwa inayolinyemelea taifa kwa siku za husoni kutokana na uwepo wa Watanzania wenzetu ambao nyoyo zao wamezielekeza katika Kuhakikisha Kwamba wanakuja...
0 Reactions
1 Replies
945 Views
BG Group to invest $20 billion in Tanzania gas exploration BY GEORGE MWANGI BG Group plans to invest up to $20 billion to extract gas in Tanzania, The Guardian newspaper reports Wednesday. BG...
0 Reactions
0 Replies
948 Views
Jk leo atahutubia kama utaratibu ulivyo kwa kila mwisho wa mwezi. Tusubiri tuone atakuja na yapi yakutuleza sisi wananchi wake wenye matatizo lukuki stay tuned. UPDATES Ameanza sasa kuhutubia...
0 Reactions
88 Replies
8K Views
Aliyekuwa miongoni mwa wagombea ubunge kupitia CCM katika hatua ya kura za maoni na kushindwa na baadaye akahamia CHADEMA na kugombea tena kupitia chama hiki bwana ANTHONY MUSAMI amefukuzwa kazi...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Baada ya kuzuiwa kuongea na wanafunzi wa SAUT ktk viwanja vya chuo kuhusu umuhimu wa KATIBA MPYA, sasa TUNDU ANTIPAS LISSU anaongea na wanafunzi hao ktk ofisi la chama icho tawi la SAUT...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
That's right. Baada ya kumsikiliza ndugu Spika Anna Makinda akiongea na watu wa jimbo lake kuwa hana nyumba na itabidi akope ajenge nyumba, nimeona tukusanye kero za viongozi wetu na tuwapelekee...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
TUMELAZIMIKA leo kuzungumzia suala la utoaji holela wa uraia wa Tanzania kutokana na mambo mawili makubwa. Kwanza, ni utamaduni wa Serikali ambao unaendelea kushika kasi hadi hivi sasa wa kuwapa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
kwa mujibu wa taarifa ya habari ya BBC swahili,asubuhi hii.wamefikia uamuzi huo baada ya kumtuhumu kukigawa chama kwa hatua yake ya kuwatuhumu baadhi ya vigogo ndani ya chama kwa mambo...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Makamu wa Pili wa Rais, Balozi Seif Ali Iddi Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imesema suala la mafuta na gesi asilia kuondolewa katika orodha ya mambo ya Muungano litajulikana hatima...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Violence rocked Arusha town after the 2010 elections. Picture: File By ELSIE EYAKUZE Posted Saturday, February 25 2012 at 13:28 About two or three years into the Fourth Administration...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna mambo na vitu vitokeapo katika Jamii huwa na ushawishi mkubwa na mara nyingine huacha alama au urithi (Legacy) kubwa katika maisha ya mtu au Jamii. Wanadamu na Taasisi (kwa kuwa huongozwa na...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Waziri Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora), Mathias Chikawe Waziri Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora), Mathias Chikawe, ameibuka na kusema watu wanaosema mawaziri wanaoumwa watoswe uwaziri, hizo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Siyoi Sumari Makada wawili wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) watakaochuana katika kura za maoni kupata mgombea atakayepeperusha bendera ya chama hicho katika Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Arumeru...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
SIKU nzima ya jana ilitawaliwa na gumzo katika redio na vyombo vingine vya habari vya hapa nchini, kutokana na kauli iliyotolewa juzi na Spika wa Bunge, Anne Makinda kwamba kutopandishwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom